DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 43,321
- 109,608
Kweli aisee, nna mpwa wangu kaolewa juz kati apa, kalia mpk nikajiuliza why🤔
Sasa naelewa kwanini wanawake hua wanalia siku ya Harusi. Maana kweli haikua rahisi