Wanawake: Unajisikiaje kila ukipata mwanaume anaeleweka, anakuwa tayari ana mtu wake

Wanawake: Unajisikiaje kila ukipata mwanaume anaeleweka, anakuwa tayari ana mtu wake

Waoaji tupo ila tupo busy na majukumu ya baadae baada ya ndoa.

Kiufupi, kuna mahala tunapenda tufike kabla hatujaingia kwenye ndoa.

Vumilia tu, Mungu atakusaidia. Usiipambanie ndoa, isubirie tu itakujia kwa ustaarabu na muda mzuri tu.
Haya
 
Umeficha ficha huyo wa kwanza. Ukweli ni kwamba uliolewa chuoni. Na hakuna kitu kinachowaharibu nyinyi mabinti kama hizo ndoa zenu za vyuoni maana mnapika, mnafua na kutumikishwa kingono kwa miaka mitatu au minne na mwisho wa siku vijamaa vinawatema vinakwenda kuoa soulmates wao huko. Mnatoka pale mkiwa na maumivu makali na wengine mnakuwa hamuwezi kupenda tena na wala kuwa wake wema.

Ndoa za vyuoni ni laana. Pole!
Naona umekuwa msemaji wangu
Sijawah kuishi na mwanaume kinyumba even kwenda kukaa kwake week sijawahi mkuu

Huo ujumbe uwafikie wahusika mimi hilo halinihusu
 
Ndo kama mleta uzi, keshathibitisha kushenyentwa na vijeba 3 kwa muda mrefu, hao kasema ni wale walioonekana wana malengo bado wale wa kula na kupita.
Kwa historia ya namna hii ukiambiwa lazima utoke nduki
Sasa hiyo story anaambiwa na nani wakati tulishakubaliana kwenye vikao idadi ni wawili tu yeye na ex mkuu
 
Wanawake kwenye mahusiano huwa wana beti yani wanacheza kamari kuna kapata na kupatwa na wanawake wengi wanaliwa. Kwasababu wanaacha chaguo sahii kwa kuchagua shampoo lisilo sahii. Mwanamke ana tabia ya kuchagua chaguo la uongo na kuacha cha Guo la kweli Kwasababu wanafata hisia.
Duu
 
Umenigusa kwani story yako imefanana nakweli hata kama umechakachua kidogo
Ungekuwa Muislam ingekuwa rahisi kukusaidia hata kama itakuwa kwa kuwa mke wa pili.

Kwa mtazamo wangu hali inavyokwenda nafikiri itafika mahala Dunia itatambua kuwa, sheria, aliyotunga Mtume/Papa Paul ya kuwakataza Wakristo wasioe wake wengi, alikuwa hajai angalia sawa sawa
Sasa hivi single mother wamejaa, watoto wamitaani wamejaa mijini, hata maambuzo flani flani, ... moja ya sababu inaweza kuwa ni katazo la kuoa wake wengi...
Hakuna mtu anataka ku share
 
Wanaume wengi wanaofaa kuoa washaoa...As a man thinketh.

By the way unahitaji ushauri wa kisaikolojia kutoka Kwa wanawake wenzako waliokuzidi uzoefu wa haya mambo, sisi wanaume tutazidi kukuvuruga tu.
Mmh
 
Bi Dada utakua una chagua wanaume wenye mafanikio na ukishazoea kutembea na wanaume mfano waume za watu basi kuwapenda vijana itakua ngumu lazima utakua na mzee mume wa mtu kwakificho na kwenye public unakua na kijana ili kuificha jamii.
Hivi Kijana Kuna na kazi ndio kuwa na mafanikio
Kiufupi naokutana nao ni wanaume wa kawaidaa wenye kazi za kawaida na mafanikioa ndio wanajitafuta

Na Pia Mimi Huwa si date na mwanaume naeona ana mafanikio makubwa huwa naogopa who behind na hayo mafanikio
 
Binti unaonekana unasumbuliwa sana na mahusiano.

Kwa threads zako humu ni dhairi unayapenda sana mahusiano ila yenyewe hayakupendi, unateswa sana na mahusiano sababu hujui kuchagua wanaume sahihi wala huna vipaumbele sahihi vya mwanaume unayemuhitaji.
Itakuwa
 
Kama upo serious utafanyia huu ushauri kaz
Omba (sali)
Hiv vitu unaweza ukaona ni kawaida ila huanzia rohoni
Kuna watu walikuwa wanateseka sana miaka inaenda wanaachwa achwa au mabalaaa
Cha msingi Muombe Mungu akuongoze
Umpate aliyesahihi

Fanya research umjue mtu kwa haraka kuliko kupoteza muda


Fullstop….
 
Acha kujirahisisha na punguza kujipa expectation kubwa..!!
Kujirahisisha ndio kukoje bidada
Maana kama mwanaume una time nae kakufuta mwenyewe mnazungushana una mkubali hapo utasema mtu kajirahisisha
 
Pole sana kwq unayopitia mtoa mada,

Hii inaonyesha wanaume wanaoeleweka walivyo wachache mno.

Ndo maana waislam wameruhusu matala.

Mwanaume anaejielewa aoe kwa kadri awezavyo.

Kila anaejielewa akibaki na mke Mmoja, ke wengi sana wataumia kwa upweke.

Kama ilivyo kwa mtoa mada
Asante sana
Inabidi tuwe michepuko sasa kwa style hiyo maana
 
Back
Top Bottom