Marco Seth
JF-Expert Member
- Oct 21, 2022
- 5,373
- 6,904
Kabisa aombeTafuta pesa watakuja wenyewe halafu muombe Munga upate mke mwema usiendekeze migodi
Kabisa aombeTafuta pesa watakuja wenyewe halafu muombe Munga upate mke mwema usiendekeze migodi
Huo ushauri si umempa mwanaumeNa ww si MWANAMKE
HatarAsante sana
Inabidi tuwe michepuko sasa kwa style hiyo maana
WoteHuo ushauri si umempa mwanaume
Hahahaha hiyo ni kwa wanaume sisi wanawake ni risk ukae na mtu kumbe mume wa mtuHamna mtu SINGLE chini ya hii DUNIA hasa hii TANZANIA (labda mimi tu)
Cha msingi acha kuuliza uliza eti Oooh una mtu ooh una mke,una mpenzi,nk
Ukipata CHANCE jibebishe mazima yani fanya kama huelewi hutambui
Unauliza kaam kaoa au kaolewa unataka enda toa zawadi ulisahau wapa au??
Wewe ukipata MTU shikilia, Maswali ya ajabu Achana nayo.
Mimi eti nimuulize Mwanamke kama Kanikubalia au ananipenda Kweli, kisaa
Akinijibu hanipendi Je! WEWE ukipata chance SHIKILIA miliki tawala mpk umkoleze
Akikolea atasema mwenyeweee mimi mke wa mtu ujue ila yule mwanaume hata simpendi, hapo ndo unamaambia HAYA MUACHE SASAAAAA...
Nk Nk Nk....
Jitambueni Nyie Mapenzi akili Singo ni MIMI tu wengine ni SINGO BEDROOM tu.
Yaani hayo maneno ndio wanaume naokuwa nao wananiambia sasa ndio changamoto hiyo washakuwa wa watuNmependa jinsi mtoa mada anavojibu reply za members wa MMU
Mtoa mada Anaonyesha ni mwanamke anaejitambua
Ni mwanamke aliye serious na mada aliyoileta hapa jukwaani
CHONDE CHONDE, MPENI USHAUR WA KUMJENGA
Ni huzuni mkuu nikijiangalia kimuonekano sio wa hovyo najiheshimu naheshimu mahusiano nilionayo lakini bahati haipo upande wangu 😞Mkuu,
Honestly hii Thread imeniumiza sana,
Mtoa mada kaiandika kwa hisia sana,
Nmejaribu kuvaa viatu vta mtoa mada,
Nmeyafeel kabisa maumivu anayoyapitia😢
Msihame ila ujijue unafit nafasi gani.Kwaiyo Pisi unpresentable hazihitajigi Tanzania tuhame nchi
Kusema ukweli mimi watu niliowaumiza ni wawili tu lakini huyo mmoja ilikuwa ni ile ya kishuleshule yule kaka mpk Leo anataka turudiane lakini ulikuwa ni upendo wa kitoto Hilo haliwezekani na nilishamuomba msamaha sana kwamba yale mapenzi yalikuwa ya utotoni na sisi hatukuwai kushiriki ngono kwaiyo sina connection nae yoyote labdaa tuseme imenifungaMe naamini wakati Mwingine Mungu hukupa unachostahili na sio unachotaka, je wewe kwenye mahusiano umenyooka? Embu jichunguze kwanza wewe binafsi tangu uvunjwe bikra hadi Leo wote wanakudanganya tu?
Embu pekua faili lako alafu ulete majibu!
Ya mwanamke:Hii ya mwanaume nipe ya mwanamke
Nakupa ofa nitumie namba yako pm nakupigia video call halafu utaleta ushihuda kama mimi ni wa hivyo mkuu😎😎Msihame ila ujijue unafit nafasi gani.
Toa ushauri maana tutamkosa ukichelewa kama tulivyo mkosa Dk Magret.Kuna umuhimu wa kuwa na jukwaa la wanawake tu, maana hawa wanaume hadi vikao vya kike wanavamia tu.
HahahaYa mwanamke:
Uzuri huchuja haraka wengine sura zao baadae huonekana kama wanaume, mwanamke inatakiwa utulizane ili uwe mke mwema kama unataka kuolewa lakini
Umenikumbusha pia kuhusu sauti nyororo za wanawake kabla ya kumuoa akiwa ndani ya nyumba wee wee! duu sauti hubadirika wengine kama sauti ya mbwa wengine radi, kikikiki
Offer??Nakupa ofa nitumie namba yako pm nakupigia video call halafu utaleta ushihuda kama mimi ni wa hivyo mkuu😎😎
Sawa AsanteKama upo serious utafanyia huu ushauri kaz
Omba (sali)
Hiv vitu unaweza ukaona ni kawaida ila huanzia rohoni
Kuna watu walikuwa wanateseka sana miaka inaenda wanaachwa achwa au mabalaaa
Cha msingi Muombe Mungu akuongoze
Umpate aliyesahihi
Fanya research umjue mtu kwa haraka kuliko kupoteza muda
Fullstop….
Sitoagi namba humu kwaiyo wewe nimekupa offer kama unatakaOffer??
Kuna wasiopata offer wanailipia hiyo huduma??
Kuna mambo binafsi siamini kabisa kama yapo ndani ya uwezo wa kibinadamu kuyapata mojawapo ni kumpata Mwenza wako sahihi(Right Partner). Binadamu ni kiumbe complex sana,kujaribu kutumia akili za kibinadamu kutafuta right partner ni kumpa nafasi Ibilisi ya kukuletea JINIKwema humu
Jamani mimi kadogo2 sijui lini nitapata laazizi wa moyo wangu.. kila napogusa pamewahiwaa
Hii hali kwangu imekuwa ikiniumiza sana maana unajikuta unampenda mwanaume kumbe tayari ana wake ambae labda wanapendana ama anampenda na kuachana kwao inakuwa ngumu
Katika umri wangu huu nishapitia mahusiano seriously mara 4 tu Yaani ile mahusiano kweli sizungumzii haya ya Leo mmeongea keshoo kimya
1: Huyu nilianzisha nae mahusiano nikiwa bado chuo nakumbuka kilikuwa kipindi cha uchaguzi mkuu.. yalikuwa ni mahusiano ya long distance alikuwa amenizidi kama miaka 7 hivi kipindi hicho nafikiri alikuwa na 28 mimi nina 21
Ni mahusiano yaliyoenda poa sana nilimpenda Kijana lakini kumbe alikuwa akiishi na mwanamke huko Dar nilikuja kujua baadae sana yaliniumiza kiasi chake lakini kwa kuwa hatukuwa na connection yoyote ya sex niliweza kupona na kupata mahusiano mengine
2: Huyu nae nilikutana nae nikiwa mwaka wa mwisho chuo.. Aisee ni mwanaume ambae tulipendana sana na huyu pekee ndio niliweza kumchomoa kwa mwanamke aliekuwa nae kabla yangu tukafika mbali sana mpk kutoa mahari ila haikuwa bahati yangu Mungu akampenda zaidi
3:Huyu jamani sikutegemea hata kama ningempenda amefanya mpk nimempenda matokeo yake kumbe ana mtu wake seriously daah Roho imeniuma sanaa.. inaonekana wamefika hatua ya mbali sana na mtu wake hivyo hata mimi sitoweza kuwatenganisha sijui kama ameoa ama hajaoa ila najua tu ana mtu na wako hatua kubwa..Nisiwe mnafki huyu namuelewa sana kwasababu ameweza kunifanya nijihisi vizuri mno japo ndio hivyo ila Roho yaumiaaa 😧
4: Huyu ni kichefuchefu jmn Msukuma huyu ni anajisikia mno in short ana mwanamke wake mimi ndio wakuzugia sijui
Jamani hao wote ni single father 🥹🥹
Sasa mimi Hii hali inaniwazisha sana mtu anakwambia yuko single unakaa nae kwenye mahusiano halafu baadae unakuja kugundua yuko na mtu..
Jamani nipeni mbinu na mimi napataje wa kwangu mimi nishachokaa mahusiano ya hivi Leo yuko single kesho unasikia yuko na baby mama wake
Uchaguzi mkuu wa mwaka gani ili nikushauri kuendana na umri wako?1: Huyu nilianzisha nae mahusiano nikiwa bado chuo nakumbuka kilikuwa kipindi cha uchaguzi mkuu..