MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,387
- 44,030
Bado mdogo. Tulia jiweke bize na mambo mengine atajitokeza mtu anayekufaa. Usipofuata huu ushauri wangu itabidi uanze kuhudhuria mikesha ya mwenge huenda ukapata mtu kule.26 mkuu
Bado mdogo. Tulia jiweke bize na mambo mengine atajitokeza mtu anayekufaa. Usipofuata huu ushauri wangu itabidi uanze kuhudhuria mikesha ya mwenge huenda ukapata mtu kule.26 mkuu
Nikikupa namba sitokua huru mkuu, unaweza ituma PM tu sina tatizo.Sitoagi namba humu kwaiyo wewe nimekupa offer kama unataka
Siwasiliani na mtu yoyote jf Hakuna anejuana na mimi
Umalaya una gharama sana sis. Pole!Naona umekuwa msemaji wangu
Sijawah kuishi na mwanaume kinyumba even kwenda kukaa kwake week sijawahi mkuu
Huo ujumbe uwafikie wahusika mimi hilo halinihusu
I knew you before you was born😎Sitoagi namba humu kwaiyo wewe nimekupa offer kama unataka
Siwasiliani na mtu yoyote jf Hakuna anejuana na mimi
Kama ana 26 na kimwonekano anaonekana mkubwa she is not representable means ni rahis kupata MTU ambaye kasettle Ila akamtumia Kama kipozeo .
Kwakuwa mtaani ninapokaa yupo binti umri wake 20s Ila anaonekana Kama yupo 30s kwahiyo wale age mate wake huwa hawamtongozi na wanamuogopa wakijua either ameolewa au ameshazalishwa .
Ana mwili mkubwa Sana ambao haufanani na age yake.
Hii imemletea changamoto ya kuolewa mpaka sasa .
Nadhani mtoa mada anaweza kuwa ni sampuli Kama hizo .
HahahaBado mdogo. Tulia jiweke bize na mambo mengine atajitokeza mtu anayekufaa. Usipofuata huu ushauri wangu itabidi uanze kuhudhuria mikesha ya mwenge huenda ukapata mtu kule.
Mimi Pia nawaza Kama wewe tubaki tu na hizi FAke ID maana huko mtaani hamna mtu anaamini nateseka kwa jinsi navyo ng’aaa 😝Nikikupa namba sitokua huru mkuu, unaweza ituma PM tu sina tatizo.
AiseeKuna mambo binafsi siamini kabisa kama yapo ndani ya uwezo wa kibinadamu kuyapata mojawapo ni kumpata Mwenza wako sahihi(Right Partner). Binadamu ni kiumbe complex sana,kujaribu kutumia akili za kibinadamu kutafuta right partner ni kumpa nafasi Ibilisi ya kukuletea JINI
2020Uchaguzi mkuu wa mwaka gani ili nikushauri kuendana na umri wako?
Mkuu mimi sasa ndio wale watoto wa 90 tulobalikiwa miili midogo umri wangu na sura na umri havifanani kwa haraka haraka ukiniona unaweza kadiria nina miaka 18-22 na hiko kitu sikipendi maana natongozwa na niliowazidi wakidhani mimi rika lao 🥹Kama ana 26 na kimwonekano anaonekana mkubwa she is not representable means ni rahis kupata MTU ambaye kasettle Ila akamtumia Kama kipozeo .
Kwakuwa mtaani ninapokaa yupo binti umri wake 20s Ila anaonekana Kama yupo 30s kwahiyo wale age mate wake huwa hawamtongozi na wanamuogopa wakijua either ameolewa au ameshazalishwa .
Ana mwili mkubwa Sana ambao haufanani na age yake.
Hii imemletea changamoto ya kuolewa mpaka sasa .
Nadhani mtoa mada anaweza kuwa ni sampuli Kama hizo .
Sawa mkuu, ila kwa machapisho yako mtandaoni ni wazi kuna kitu hakipo sawa.Mimi Pia nawaza Kama wewe tubaki tu na hizi FAke ID maana huko mtaani hamna mtu anaamini nateseka kwa jinsi navyo ng’aaa 😝
Nimecheka sana.Jitahidi uwe mtamu, kuambiwa ambiwa nina mtu wangu sio dalili nzuri....kwani we sio mtu?
Lakini si Una Mtoto mmoja, shukuru Mungu na Huyo Mtoto uliyempata. Lea Mtoto, kama mume wa ndoto yako atajitokeza Tu, ila punguza kuwabagua wanaume.Mkuu mimi sasa ndio wale watoto wa 90 tulobalikiwa miili midogo umri wangu na sura na umri havifanani kwa haraka haraka ukiniona unaweza kadiria nina miaka 18-22 na hiko kitu sikipendi maana natongozwa na niliowazidi wakidhani mimi rika lao 🥹
Inawezekana kuna sehemu alijikwaa mkuu.Huyu alikosea some place . It’s karma . Don’t try and save her .
Asante mkuuSawa mkuu, ila kwa machapisho yako mtandaoni ni wazi kuna kitu hakipo sawa.
Pole sana.
Mmh mtoto gani nimesema ninae… sina mtoto mkuuLakini si Una Mtoto mmoja, shukuru Mungu na Huyo Mtoto uliyempata. Lea Mtoto, kama mume wa ndoto yako atajitokeza Tu, ila punguza kuwabagua wanaume.
Karibu Pm single mwenzangu I swear 😔Jamani nipeni mbinu na mimi napataje wa kwangu mimi nishachokaa mahusiano ya hivi Leo yuko single kesho unasikia yuko na baby mama wake
Mkuu mimi sasa ndio wale watoto wa 90 tulobalikiwa miili midogo umri wangu na sura na umri havifanani kwa haraka haraka ukiniona unaweza kadiria nina miaka 18-22 na hiko kitu sikipendi maana natongozwa na niliowazidi wakidhani mimi rika lao 🥹
Wewe unadhani sababu ni nini??Asante mkuu
Kuna rafiki yangu huwa ananiambiaga kwa uzuri ulio nao halafu unateseka hivyo ningekuwa mimi niko hivyo ningewatesa nabaki kucheka maana ina huzunisha Mungu hakupi vyote 🥹
Una umri GaniKwema humu
Jamani mimi kadogo2 sijui lini nitapata laazizi wa moyo wangu.. kila napogusa pamewahiwaa
Hii hali kwangu imekuwa ikiniumiza sana maana unajikuta unampenda mwanaume kumbe tayari ana wake ambae labda wanapendana ama anampenda na kuachana kwao inakuwa ngumu
Katika umri wangu huu nishapitia mahusiano seriously mara 4 tu Yaani ile mahusiano kweli sizungumzii haya ya Leo mmeongea keshoo kimya
1: Huyu nilianzisha nae mahusiano nikiwa bado chuo nakumbuka kilikuwa kipindi cha uchaguzi mkuu.. yalikuwa ni mahusiano ya long distance alikuwa amenizidi kama miaka 7 hivi kipindi hicho nafikiri alikuwa na 28 mimi nina 21
Ni mahusiano yaliyoenda poa sana nilimpenda Kijana lakini kumbe alikuwa akiishi na mwanamke huko Dar nilikuja kujua baadae sana yaliniumiza kiasi chake lakini kwa kuwa hatukuwa na connection yoyote ya sex niliweza kupona na kupata mahusiano mengine
2: Huyu nae nilikutana nae nikiwa mwaka wa mwisho chuo.. Aisee ni mwanaume ambae tulipendana sana na huyu pekee ndio niliweza kumchomoa kwa mwanamke aliekuwa nae kabla yangu tukafika mbali sana mpk kutoa mahari ila haikuwa bahati yangu Mungu akampenda zaidi
3:Huyu jamani sikutegemea hata kama ningempenda amefanya mpk nimempenda matokeo yake kumbe ana mtu wake seriously daah Roho imeniuma sanaa.. inaonekana wamefika hatua ya mbali sana na mtu wake hivyo hata mimi sitoweza kuwatenganisha sijui kama ameoa ama hajaoa ila najua tu ana mtu na wako hatua kubwa..Nisiwe mnafki huyu namuelewa sana kwasababu ameweza kunifanya nijihisi vizuri mno japo ndio hivyo ila Roho yaumiaaa 😧
4: Huyu ni kichefuchefu jmn Msukuma huyu ni anajisikia mno in short ana mwanamke wake mimi ndio wakuzugia sijui
Jamani hao wote ni single father 🥹🥹
Sasa mimi Hii hali inaniwazisha sana mtu anakwambia yuko single unakaa nae kwenye mahusiano halafu baadae unakuja kugundua yuko na mtu..
Jamani nipeni mbinu na mimi napataje wa kwangu mimi nishachokaa mahusiano ya hivi Leo yuko single kesho unasikia yuko na baby mama wake