Wanawake: Unajisikiaje kila ukipata mwanaume anaeleweka, anakuwa tayari ana mtu wake

Hapo umeongea, mtu kuachwa zaidi ya mara nne kuna mengi. Itabidi atafute kasoro aliyonayo aitatue
Kuna mtu alinambia inatakiwa nipitie mahusiano seriously 7 na wote wa niache ndio napata mtu sahihi yaani et wanawake wengi lazima wapitie hatua hiyo kuachwa mara 7 šŸ˜
 
Unajiweka mazingira gani?
Una behave vipi?
Una mingle na watu wa aina gani?
Unajishighulisha na nini?
Uzuri sio kipimo cha kuolewa ama kupata mwanaume wa kutulia na wewe
Mimi nilianza kuposwa niko form four
Mpka namaliza chuo idadi ya watu walotaka kunioa ilikuwa ndefu

duh watu tunatofautiana kwakweli
Watu tunatofautiana mkuu sio kwamba sipati wa kunioa napata lakini viwango havijakidhi.. mfano

1; Dini
3: Umri
4; Mtazamo

Unapata mtu anataka kukuoa lakini huna amani nae vipi uingie kwenye ndoa na huyo mtu.. sichagui ila angalau kati ya vigezo 10 hata 4 viwepo mkuu
 
Punguza mararajio makubwa, acha kujionyesha una uhitaji mkubwa wa ndoa..!!
Navyoandika hapa usifikiri kuwa ndio ninamuoneshea mwanaume hivyo

Mimi huwa najifanyaga I don’t care nina enda na kanuni 1:1 so sijawah kumuonesha mwanaume kwamba nina muhitaji sana

Kuhusu kuhitaji ndoa ningeshaolewa muda sana ila siwezi kuolewa na yoyote angalau nipate mtu ambae tutavumiliana

Anyway sijui sasa kama nina hiyo unayo sema wewe
 
Watu tunatofautiana mkuu sio kwamba sipati wa kunioa napata lakini viwango havijakidhi.. mfano

1; Dini
3: Umri
4; Mtazamo

Unapata mtu anataka kukuoa lakini huna amani nae vipi uingie kwenye ndoa na huyo mtu.. sichagui ila angalau kati ya vigezo 10 hata 4 viwepo mkuu
Dini (Religion )
Umri (Age)
Mtazamo (Mindset)

Kama unataka kufanya maisha achana na mambo ya dini , kwakuwa dini haina uhusiano wowote na uchamungu

Umri - umri ni namba tu ikiwa MTU umempenda mnaweza kufanya maisha kwakuwa we live only once muhimu mwanaume asiwe mkubwa kufika umri wa kukuzaa Ila Approximate age akuzidi 10-15
Waweza Tazama Jayz z na Beyonce.

Mtazamo (Mindset) kikawaida mtazamo wa MTU huwa unabadilika kwahiyo waweza kumbadilisha MTU mfano Mimi nilikuwa naona kuwa naweza kuoa single mother Ila nilivyojiunga JF nikabadilisha mawazo same to you unaweza mbadilisha MTU mtazamo.

Je wapi unaona pagumu ?
 
kadogo2
 
Dini mkuu hapo pagumu maana maisha tunayoishi ni dini tosha
Malezi ya kiimani tofauti kuna vitu wewe utavichukulia normally halafu mwenzio anachukulia seriously

Umri
Unaweza pata wanaume wadogo na kawaida mwanaume akiwa mdogo kiumri mara nyingi mwanamke anakuwa na akili kumzidi
Na Mimi nataka niwe under control nataka mwanaume afanye maamuzi juu yangu sio mimi ndio niwe msemaji wa mwisho na hiyo ndio raha najisikia
Sasa ukishajua mtu umemzidi umri automatically ile nidhamu unapoteaa nataka mwanaume wa kunizidi umri hata kama ni miaka 2
 
Mkuu ndio vipi hivyo .. who is this guy
Mimi au wao šŸ˜’
Una kitu kinaitwa stereotype unapenda kusikia kile kinachokufurahisha na kinachoendana na akili yako .

In short tangia upandishe huu uzi ungekuwa umepata majibu tumejaribu kukupa Madini Ila bado unauliza maswali yaleyale.

Ikiwa sisi tunachoka je mpenzi wako itakuaje?
 
Kwaiyo kama sielewi sipaswi kuhoji mkuu maana nia nipate mawazo tofauti
 
Dini mkuu hapo pagumu maana maisha tunayoishi ni dini tosha
Malezi ya kiimani tofauti kuna vitu wewe utavichukulia normally halafu mwenzio anachukulia seriously

Umri
Unaweza pata wanaume wadogo na kawaida mwanaume akiwa mdogo kiumri mara nyingi mwanamke anakuwa na akili kumzidi
Na Mimi nataka niwe under control nataka mwanaume afanye maamuzi juu yangu sio mimi ndio niwe msemaji wa mwisho na hiyo ndio raha najisikia
Sasa ukishajua mtu umemzidi umri automatically ile nidhamu unapoteaa nataka mwanaume wa kunizidi umri hata kama ni miaka 2

Mfano mimi siendagi msikitini wala kanisani

Ila Mimi sinywi pombe, sifanyi ,uzinzi ,natoa sana sadaka kwa wahitaji ,napenda watu, na nipo positive

Je utakaa kataa kuolewa na Mimi kisa Mimi siamini katika dini Ila naamini Mungu yupo basi

Huo ni mfano , nipe jibu .
 
Kuna mtu alinambia inatakiwa nipitie mahusiano seriously 7 na wote wa niache ndio napata mtu sahihi yaani et wanawake wengi lazima wapitie hatua hiyo kuachwa mara 7 šŸ˜
Siyo kweli, huko sasa ni kukitembeza, tafuta kasoro ulizonazo uzitatue.
 
Kama hujui hao wanaume za watu unao waona unawatamani mara nyingi unakuta wake zao wameplay part kubwa kuwafanya hivyo unavyo waona.
Jaribu na wewe kutafuta fungu lako mtengeneze maisha kulingana na mtakavyo kuwa mnaishi.
Usitafute tu mwanaume unaeona kakamilika eti ndio uanzishe nao maisha ni kazi sana.
 
Mfano mimi siendagi msikitini wala kanisani

Ila Mimi sinywi pombe, sifanyi ,uzinzi ,natoa sana sadaka kwa wahitaji ,napenda watu, na nipo positive

Je utakaa kataa kuolewa na Mimi kisa Mimi siamini katika dini Ila naamini Mungu yupo basi

Huo ni mfano , nipe jibu .
Lazima turudi kwenye makubaliano watoto wetu watalelewaje kwenye dini ipi maana siwezi kulea watoto wangu bila misingi ya dini na imani hata wewe ulipokuwa mdogo ulilelewa vingine na umekuwa umefuata vingine

Suala la dini limebase sana katika malezi ya familia.. mimi naamini katika kusali Kama wewe usali means tutashindwana maana kuna kipindi unaweza pitia changamoto ngumu ambayo inahitaji msaada wa kiroho halafu partner wako hakupi ushirikiano unajua feelings ambazo utapata
 
Kuna mtu alinambia inatakiwa nipitie mahusiano seriously 7 na wote wa niache ndio napata mtu sahihi yaani et wanawake wengi lazima wapitie hatua hiyo kuachwa mara 7 šŸ˜
Ukimaliza hizo 7 nitafute tuendelee ya 8 napenda mitumba mimi
 
Back
Top Bottom