Wanawake: Unajisikiaje kila ukipata mwanaume anaeleweka, anakuwa tayari ana mtu wake

Wanawake: Unajisikiaje kila ukipata mwanaume anaeleweka, anakuwa tayari ana mtu wake

Kuna mtu alinambia inatakiwa nipitie mahusiano seriously 7 na wote wa niache ndio napata mtu sahihi yaani et wanawake wengi lazima wapitie hatua hiyo kuachwa mara 7 šŸ˜

-2137454752.jpg

Isije kuwa unataka kuolewa na wanaume ambao huendani nao.

Maana siku hizi wanaume wenye pesa, wanaoa wanawake wenye pesa pia
 
itakuwa unachagua sana na kuna standard umejiwekea sasa izo standard zinaangukia kwa waume za watu,keep in mind kwamba ukiona vyaelea ujue vimeundwa, tafuta from scratch ujenge nae maisha men respect women who made them valuable.
Haya
 
Kuwa karibu na Mungu ni tofauti na kuwa karibu na dini.

Usjie ukatumia kigezo cha dini kutafuta mwanaume nadhani watu wa dini ndo watu wabaya na hawana Upendo wa kweli ukifatilia utajua
Haya sawa
 
Kuwa karibu na Mungu ni tofauti na kuwa karibu na dini.

Usjie ukatumia kigezo cha dini kutafuta mwanaume nadhani watu wa dini ndo watu wabaya na hawana Upendo wa kweli ukifatilia utajua
Haya sawa
 
Ulishawahi kumshirikisha mama yako juu hili?
Hahaha Mimi sijawahi kuongea na mama angu masuala ya wanaume niliwahi mara 1 tu tena kwa mtu ambae alileta posa ila hao wengine hata siku moja

Vitu vyangu namalizaga mwenyewe na kingine kwetu mimi ndio wa mwisho suala la mimi kuolewa huwa wananiambia bado ni mdogo nitulie kwanza
 
Kwema humu
Jamani mimi kadogo2 sijui lini nitapata laazizi wa moyo wangu.. kila napogusa pamewahiwaa

Hii hali kwangu imekuwa ikiniumiza sana maana unajikuta unampenda mwanaume kumbe tayari ana wake ambae labda wanapendana ama anampenda na kuachana kwao inakuwa ngumu

Katika umri wangu huu nishapitia mahusiano seriously mara 4 tu Yaani ile mahusiano kweli sizungumzii haya ya Leo mmeongea keshoo kimya

1: Huyu nilianzisha nae mahusiano nikiwa bado chuo nakumbuka kilikuwa kipindi cha uchaguzi mkuu.. yalikuwa ni mahusiano ya long distance alikuwa amenizidi kama miaka 7 hivi kipindi hicho nafikiri alikuwa na 28 mimi nina 21
Ni mahusiano yaliyoenda poa sana nilimpenda Kijana lakini kumbe alikuwa akiishi na mwanamke huko Dar nilikuja kujua baadae sana yaliniumiza kiasi chake lakini kwa kuwa hatukuwa na connection yoyote ya sex niliweza kupona na kupata mahusiano mengine

2: Huyu nae nilikutana nae nikiwa mwaka wa mwisho chuo.. Aisee ni mwanaume ambae tulipendana sana na huyu pekee ndio niliweza kumchomoa kwa mwanamke aliekuwa nae kabla yangu tukafika mbali sana mpk kutoa mahari ila haikuwa bahati yangu Mungu akampenda zaidi

3:Huyu jamani sikutegemea hata kama ningempenda amefanya mpk nimempenda matokeo yake kumbe ana mtu wake seriously daah Roho imeniuma sanaa.. inaonekana wamefika hatua ya mbali sana na mtu wake hivyo hata mimi sitoweza kuwatenganisha sijui kama ameoa ama hajaoa ila najua tu ana mtu na wako hatua kubwa..Nisiwe mnafki huyu namuelewa sana kwasababu ameweza kunifanya nijihisi vizuri mno japo ndio hivyo ila Roho yaumiaaa 😧

4: Huyu ni kichefuchefu jmn Msukuma huyu ni anajisikia mno in short ana mwanamke wake mimi ndio wakuzugia sijui

Jamani hao wote ni single father 🄹🄹

Sasa mimi Hii hali inaniwazisha sana mtu anakwambia yuko single unakaa nae kwenye mahusiano halafu baadae unakuja kugundua yuko na mtu..

Jamani nipeni mbinu na mimi napataje wa kwangu mimi nishachokaa mahusiano ya hivi Leo yuko single kesho unasikia yuko na baby mama wake
Kosa lenu kubwa ni moja tu ambalo wanawake wengi huwa mnakosea kwenye uchaguzi wa mtu sahihi.
Kwenye kuchagua mtu sahihi nyinyi huwa mnaangalia mtu mwenye pesa au anayejua kuonga sana au mwenye gari.
Sasa ni ngumu sana umpate mtu ambaye ameshajipata tayari halafu asiwe na mtu wake ni ngumu sana,lazima kuna wenzako walishamuona kitambo na washawahi nafasi kwa hiyo ukijiingiza hapo watakutumia tu kisha mbeleni wanakutema.
Sasa kwa umri ulionao sasa hivi umebakisha miaka mitatu tu ya kujirekebisha ukicheza hapo basi utakuja kuitwa single mother au mshangazi.
Tafuta mtu mwenye upendo wa kweli na mpambanaji hata kama hana pesa za kutosha mtashirikiana kwenye kuzitafuta hapo ndio utadumu kwenye mahusiano na sio kuvizia hela ambazo zishatengenezwa tayari na hujui zilitengenezwaje
 
Sasa kama wanaokufuata ni wa hivyo utawatoa wapi hao wenginee
 
Inategemea na lifestyle yako huwa wanakufuata ukiwa wapi,kama ni mtu kwenda viwanja sana au beach/club/bar basi utakuwa unakutana na watu wa hivyo mabazazi waigizaji
Sasa kama wanaokufuata ni wa hivyo utawatoa wapi hao wenginee
 
Hata kama hujasema Una Mtoto, ila I guess, kama umezaliwa miaka ya 90, Una Mtoto uliyezaa na mwanaume WA kwanza. Ulizaa Mtoto ukiwa chuoni
Anyway: kuna mambo mengi hujayaweka wazi, umeyaficha. Yatazidi kufichuka kadri unĆ vyozidi kujieleza kwenye komenti.
Mmh mtoto gani nimesema ninae… sina mtoto mkuu
 
Ni ukweli mkuu halafu hivyo ndio Mungu kaona asininyime sura nzuri macho midomo yaani kwenye swala zima la reception Mungu alinibarikiaa ila usiangalie nyuma 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Tatizo nilishalijuaa ni huko behind sogea mloganzila pale upate furushi la buku jero
 
Mkuu em tushauri tufanyaje kupata hao wenza sahihi?
Maana hata mm sielewi na nina uhitaji na huyo mtu sahihišŸ¤¦ā€ā™€ļø
Rahisi sana tena sana. Nijibu hili swali je,unaamini kwamba Mungu ndiye aliyeiumba Ndoa plus hamu ya kuoa/kuolewa?)
 
Hata kama hujasema Una Mtoto, ila I guess, kama umezaliwa miaka ya 90, Una Mtoto uliyezaa na mwanaume WA kwanza. Ulizaa Mtoto ukiwa chuoni
Anyway: kuna mambo mengi hujayaweka wazi, umeyaficha. Yatazidi kufichuka kadri unĆ vyozidi kujieleza kwenye komenti.
Mkuu kuwa na mtoto sio dhambi kama ningekuwa nae ningeeleza.. kuzaliwa Miaka ya 90 aina maana kuwa kila mtu ana mtoto
Kuwa na mtoto ni mipango sio kukurupuka

Halafu kingine Hakuna mtu alieniambia nianzishe uzi nimeanzisha kwa hiari yangu ina maana mimi ndio muhusika.. sasa kama unalazimisha hiyo story yako mkuu sikupingi iendeleze maana unalazimisha uongo kuwa ukweli
 
Inategemea na lifestyle yako huwa wanakufuata ukiwa wapi,kama ni mtu kwenda viwanja sana au beach/club/bar basi utakuwa unakutana na watu wa hivyo mabazazi waigizaji
Sehemu zote ulizosema sijawah kwenda labda beach na ni zamani sana hata kabla sijaingia 20..
mimi sio mtembezi na sio mtu wa kujichanganya
 
Back
Top Bottom