Lazima turudi kwenye makubaliano watoto wetu watalelewaje kwenye dini ipi maana siwezi kulea watoto wangu bila misingi ya dini na imani hata wewe ulipokuwa mdogo ulilelewa vingine na umekuwa umefuata vingine
Suala la dini limebase sana katika malezi ya familia.. mimi naamini katika kusali Kama wewe usali means tutashindwana maana kuna kipindi unaweza pitia changamoto ngumu ambayo inahitaji msaada wa kiroho halafu partner wako hakupi ushirikiano unajua feelings ambazo utapata
Mimi naamini katika Mungu mmoja oneness
Na nimekuwa raised independently sikuwaiga kulazimishwa kusali , kufunga .
Ila nimepewa malezi bora Kama kukataa uzinzi , Pombe ,Bangi, singara na wizi .
Na nimefundishwa kutoa sadaka kwa wahitaji na kuwasaidia watu .
Hivyo Mimi naamini katika alter (Madhabau) na naamini katika kumtanguliza Mungu.
Mafundisho haya nimepewa na Mama mzazi na Baba pia.
Na Mimi sijasoma bible wala quruan
Kwahiyo Mimi I'm spiritual being ni binadamu wa kiroho .
Katika Conscience (Dhamiri ) hii ndo jambo la msingi kuzidi dini.
Hata wale Wachungaji wakubwa na mashek wakubwa hawawezi kunikumbusha kusali kwakuwa Maisha yangu pekee ninayoishi nazingatia Sana kuwa Positive , kujitenga na negativity , like sex ,drug ,alcohol , and to hurt someone .
Je ukikutana na MTU mwenye sifa hizi utamkataa ?
Kuhusu watoto wanabidi kukuzwa na Misingi ya Imani ya kumjua Mungu Sana kuliko kuijua dini.
Nafikiri nimeelezea