- Thread starter
- #221
Nahisi kwasababu ni mwepesi kumuamini mtu wana take advantageWewe unadhani sababu ni nini??
Maana wewe ndo unajijua zaidi ya jf inavyokujua.
Nahisi kwasababu ni mwepesi kumuamini mtu wana take advantageWewe unadhani sababu ni nini??
Maana wewe ndo unajijua zaidi ya jf inavyokujua.
Hujanijibu Mimi😔Nahisi kwasababu ni mwepesi kumuamini mtu wana take advantage
UmesemajeHujanijibu Mimi😔
Asante sana mkuu ila mimi sitafuti na hata nikihitaji sio humu jfKaribu Pm single mwenzangu I swear 😔
🥹🥹 tafanyaje asa mimi nikijua tu mwanaume ana mtu na wako seriously huwa namuacha sitaki kuumia baadae maana unaweza sema umgande ukitumaini labda atamuacha unashangaa wapoteza muda 😔Nahisi una Vutia Ila hauna Mvuto
Maana kuna wanawake wana attractiveness Ila hawana magenetism
Hii nahisi ndo IPO kwako
Wanaume wa kutengenezwa siwataki ajitengeneze mwenyewe mimi pia nimejitengeneza mwenyeweTafuta aliyepauka, umtengeneze ili awe wa kwako.
View attachment 3406791
Na hiyo ndo shida ya wanawake wengi hasa wenye watoto ila wewe huna mtoto na uko hivyo, jipe likizo.Nahisi kwasababu ni mwepesi kumuamini mtu wana take advantage
Nitengeneze mimi niwe wa kwako peke yako, bakora inakuwa ni ya kwako tu.Wanaume wa kutengenezwa siwataki ajitengeneze mwenyewe mimi pia nimejitengeneza mwenyewe
Hapana mkuuNitengeneze mimi niwe wa kwako peke yako, bakora inakuwa ni ya kwako tu.
MmhNa hiyo ndo shida ya wanawake wengi hasa wenye watoto ila wewe huna mtoto na uko hivyo, jipe likizo.
Una vaa kiuno saizi ngapi? Nijibu hapo kwanza kisha nikupe mbinuJamani nipeni mbinu na mimi napataje wa kwangu mimi nishachokaa mahusiano ya hivi Leo yuko single kesho unasikia yuko na baby mama wake
Jaribu kufatilia hapa attractiveness and magnetism.🥹🥹 tafanyaje asa mimi nikijua tu mwanaume ana mtu na wako seriously huwa namuacha sitaki kuumia baadae maana unaweza sema umgande ukitumaini labda atamuacha unashangaa wapoteza muda 😔
Daah sawa mkuu kila la heriAsante sana mkuu ila mimi sitafuti na hata nikihitaji sio humu jf
Hapo umeongea, mtu kuachwa zaidi ya mara nne kuna mengi. Itabidi atafute kasoro aliyonayo aitatueJitahidi uwe mtamu, kuambiwa ambiwa nina mtu wangu sio dalili nzuri....kwani we sio mtu?
Mkuu em tushauri tufanyaje kupata hao wenza sahihi?Kuna mambo binafsi siamini kabisa kama yapo ndani ya uwezo wa kibinadamu kuyapata mojawapo ni kumpata Mwenza wako sahihi(Right Partner). Binadamu ni kiumbe complex sana,kujaribu kutumia akili za kibinadamu kutafuta right partner ni kumpa nafasi Ibilisi ya kukuletea JINI
Ndo kujirahisisha kwenyewe huko, na washakujua utawazungusha lakini mwisho utawaonjesha..!!Kujirahisisha ndio kukoje bidada
Maana kama mwanaume una time nae kakufuta mwenyewe mnazungushana una mkubali hapo utasema mtu kajirahisisha
Kwaiyo wapi nitapata solutionJaribu kufatilia hapa attractiveness and magnetism.
Kwakuwa Mwonekano wa MTU wa nje huwa haumui mwanaume akupende au asikupende isipokuwa mwonekano husaidia kuvuta wanaume Ila sio kumbakisha.
Kuna mambo hata kuyaelezea ngumu Ila tambua kutongozwa kuwa Approached na kupendwa haya mambo yamepishana sana tena kwa mbali mno.
So hapa mtandaoni sifikirii Kama utapata majibu sahihi ya swali lako .
Kama umewahi fatilia utakuta Mwanaume wa kawaida Sana Ila wanawake anaopata ni wa viwango vya PHD the same to women mwanamke anaweza kuwa wa kawaida Sana Ila akakuweka pembeni wewe mwenye kuvutia.
Kama ulivyokuwa unamuona Diamond anamuacha Wema anamfata Hawa nitarejea wale ungewalinganisha ni mbingu na ardhi .
Najaribu kuelezea hapa Ila hauna magnetism Mkuu na hii waweza kutoipima katika mahusiano even in normal relationships.
Kwaiyo kuwakubali inatakiwa ichukue Miaka mingapi mkuuNdo kujirahisisha kwenyewe huko, na washakujua utawazungusha lakini mwisho utawaonjesha..!!