Wanawake wa chachamaa bungeni, Kificho ikabidi asimame

Miongozo imekua mingi na inapigwa chini
 
Huu ni ujinga wanatak haki sawa au wanataka upendeleo!? wangefany hayo iwapo wamezuiwa kugombea. Waseme wanataka upendeleo tu.

Yamezoea viti vya chu.pi mapuuzi haya! Yanashindwa nini kwenda kugombea? Hayana uwezo! Poor women. Itachukua muda kujikomboa hawa ma.la.ya!
 
nimeshakosa imani kabisa na hii katiba mpya maana haitakuwa na JIPYA kabisaaaaa!!!
tumepoteza muda tu na hela zetu walipa kodi!
 
hawa wanaosema kama mwenyekiti ni mwanaume basi makamu awe mwanamke, na kama ni mwanamke basi makamu awe mwanaume hawajui wanaloliongea. Kama tutaanza kuchagua viongozi kwasababu ya jinsia zao hatutafaidika. Mimi nafikiri sifa na uwezo wa mtu uwe ndio kigezo cha kuchaguliwa kwenye nafasi yeyote ya uongozi bila kujali Jinsia, kabila wala Dini. Mungu atunusuru watanzania kamwe tusije tukatumia vigezo hivyo nilivyovitaja kupata viongozi.
 
Yamezoea viti vya chu.pi mapuuzi haya! Yanashindwa nini kwenda kugombea? Hayana uwezo! Poor women. Itachukua muda kujikomboa hawa ma.la.ya!

Kaka umekerwa sana, ila wanapenda sana upendeleo huku wakiuvika jina kuwa ni haki sawa.
 

ni kweli kabisa hoja ya Wenje ilikuwa ipo wazi kwamb kama mwanamke ana uwezo agombee na mwanaume kama ana uwezo nae agombee so ni kuangalia uwezo na si jinsia.
 

Nice to hear this from you...! Very constructive.
 
Wanawake wapo sahihi si haki sawa maccm yanajichangaya
JK anasema ni zamu ya wanawake, leo vipi tena?
 
nini msimamo wa wanawake wasomi kaka prof tibaijuka na Dr migiro?au na wao mule mule tu akina vicky kamata
Ni lini Migiro aliwahi kugombea uongozi zaidi ya kuishi kwa teuzi tu? na yeye ni walewale anapigia debe mfumo wa kubebwa unaombeba mpaka leo from UN failure to waziri wa sheria na katiba. only in Tanzania.
 
Kwa maoni yangu,hoja ya kuchagua mtu kutokana na jinsi,umri,urefu,umbo na kadhalika ni hoja mfu. Yeyote achaguliwe popote kwa sifa na hoja alizonazo.

Mzee Tupatupa
 
Wanawake wapo sahihi si haki sawa maccm yanajichangaya
JK anasema ni zamu ya wanawake, leo vipi tena?

Wamelewa na hiyo kauli.. huwez kulazimisha jinsia flan kwenye position. Hata kama hakuna mtu mwenye sifa toka kwenye hilo kundi...
 
Hoja ya kumchagua m/kiti au makamu wake kwa kigezo vya ulinganifu wa kijinsia punde yazua mjadala miongoni mwa wajumbe Bunge la Katiba, Dodoma.
 
Ridhisheni mioyo yenu huko kisha mrudi kwenye shughuli zenu!!!!!!!
Nchi hii haiwezi kufanya mambo makubwa kwa kizazi hiki, yaani ratiba ikamilike tu makubwa watafanya walio shule na vyuoni sasa!!!!!!
 
ni kweli kabisa hoja ya Wenje ilikuwa ipo wazi kwamb kama mwanamke ana uwezo agombee na mwanaume kama ana uwezo nae agombee so ni kuangalia uwezo na si jinsia.
Kwani kule Ujerumani yule Chancellor Angel Mickael ni wa viti maalum? halafu wakifika nyumbani ndio wanatambuwa kwamba baba ndio kichwa kila aina ya matumizi baba ndio anagharamia. wanafki sana hawa nyoka wanaoitwa Eva.
 
hapa ni mazingaombwe tu. walianza kama mwenyekiti akitoka bara basi makamu atoke zenji,leo wanakuja la hili.
hapo inaonyesha makamu atatoka zenji na atakuwa mwanamke?JE kuna mwanamke katika hao wajumbe kutoka zenji mwenye uwezo na vigezo vya kuwa makamu au ndio tutachagua tu for the sake of gender balance?
hawakawii kuweka na udini hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…