Wanawake wa chachamaa bungeni, Kificho ikabidi asimame

kuna mdau kasema hawa wanapenda saana kupigania Upendeleo na sio haki sawa.

Wanawake kwao wao maana ya haki sawa ni upendeleo, kama vp wasimamishe mgombea wao na wanaume wao atakayeshinda ndiye mshindi
 
Nitaendelea kusema, tujilaumu sisi wanaume, huu upuuzi wa gender balance ni wa kijinga sana, tumefikia mahali eti hata mtu kwenda kusomea udaktari kuna nafasi za wanawake badala ya uwezo kutumika kama kigezo, tunavunja taratibu eti kuwabeba wanawake, nani aliwabeba kina bibi Titi? tuweke mazingira sawa kwa wote kupata sifa stahili lakini tusikimbilie tu eti gender balance hata kama mtu hana uwezo, matokeo yake tukapata spika mwanamke, tumefika wapi? tumepanda bange tunataka kuvuna mchicha?
 

Aisee nani kakuponesha kichaa maana siku hizi huna uchizi tend.
 
Ha aha ha ha mdini kama kawaida yako na udini wako. that is where we use to say.......Compare and Contrast btn (+) $ (*)
 
Sasa nimeamini tunaandika katiba mpya, siamini kama wewe leo ndio unaongea point kiasi hiki. Hapa lazima tuwe wamoja sio utani. Ongea na kina msalani, ritz nk tupiganie miaka 50 ijayo kwanza

Mkuu kumbe hujamuelewa huyo kauli yake ni ya aina gani, yuko pale pale kwenye ubaguzi wa rangi yeye anahisi kama kuna vitu fulani vya upande husika havitaenda na si kwa maslahi ya nchi nzima
 
Tunakoelekea itakuwa km raisi ni mwanaume then makamu wake awe mwanamke...ama vise versa

Kwq mwendo huu ndo kinachofuata kujadiliwa wakianza kuijadili hiyo katiba mkuu.
 

Taifa lishakuwa na sera mufilisi hili.
 
Ha aha ha ha mdini kama kawaida yako na udini wako. that is where we use to say.......Compare and Contrast btn (+) $ (*)

Naweza nikawa nimefanya mengi katika maisha yangu, lakini hata siku moja sitakuwa sehemu ya wanao endekeza udini kwa namna yoyote ile.

Kwa muktadha huo, ningependa ndugu yangu usinituhumu kwa jambo ambalo mbali tu na kulifanya sijawahi kuwa mfuasi wake (huo udini).

Ningependa tujadili hoja kwa kuzingatia kile tunachokiona badala ya kuendeshwa na hisia pamoja na dhana; tujikite kujadili hoja kwa kuepuke kutoa tuhuma ambazo hazina tija kwa wachangiaji ili kuzuia kuhamisha mjadala na kupoteza lengo.

Tujifunze ustaarabu, hata kama imetokea wazazi wetu hawajatufunza, basi tuige.
 
Sasa AshaRose Migiro ana caliber gani zaidi ya UN underperform? Failure.
 
Na sisi tusiiona tunasema mwenyekiti akiwa ana macho timilifu asiyeona ndo apewe umakamo mwenyekiti. LIWALO MA LIWE. Tunataaka haki zetu
 

Acha hizo mambo bana, kuna mchochezi mkubwa na mtu anayejadili na kufanya siasa za dini humu kama wewe au turejee post zako kwa ni vigumu kuzipata ndani saver za Jf?
 
Na sisi tusiiona tunasema mwenyekiti akiwa ana macho timilifu asiyeona ndo apewe umakamo mwenyekiti. LIWALO MA LIWE. Tunataaka haki zetu

Kuna mashoga watataka na wao wawakilishwe mle kwenye nafasi ya uenyekiti, maana kwenye wengi kuna mengi ni mchanganyiko wa wengi mle na hivi hatuna sheria madhubuti ya gayz
 
Hapa nasubiri waje na wakulima waseme kwa kuwa wanasiasa wanangangania hizi nafasi tangu mkolon mwenyekiti akiwa mwanasiasa msaidizi wake awe mkulima ha ha ha ha. Funy. Hawa jamaa nia na katiba hawana wanapiga puntaza tu mle ndani. Siku tisini zikiisha bila kuwa na katiba madhubuti hao wapuuzi wapelekwe isanga wakanyee ndoo. Huwezi chezea hela zetu kufanyia commedy hapo dodoma kugombania jinsia. Stupid
 
Hakuna kuwapa nafasi hiyo. Kapewa Makinda katuboa na kutuonyesha kuwa WANAWAKE WAKIWEZESHWA HAWAWEZI
 
wanajinga wagombea wakitimiza utaratibu watachaguliwa kuongozwa na mwanamke nu ujinga tumemwona makinda alivyokuwa anaendesha bunge kama familia aibu kubwa sanaaa
 
Kaka umekerwa sana, ila wanapenda sana upendeleo huku wakiuvika jina kuwa ni haki sawa.
Mkuu kwa kweli wanakera sana hawa nguchiro! Maana walifikia hatua ya kuanza kuimba "tu-na-taka ...., ha-ki yetu!!!" Yaani hapo ndo wametudhirishia kabisa kuwa wao haki yao ni viti vya upendeleo wa kutumia lile tundu lao, uwezo wa kugombea hawana!! Sasa nashangaa anayewadanganya kuhusu haki sawa sijui ni nani??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…