BEDO NYALUTOGO
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 1,328
- 194
sasa kwani nani kakataa mwanamke kugombea nao wachangue mwakilishi wao wanawake daima hawawezi kuongoza sehemu zinazo hitaji maamzi mgumu kazi yako kutuandaria Chakula nyumbani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunataka haki yetu,,,huu ni upuuzi.
Wanawake, wataka kama mwenyekiti akiwa mwanaume basi makamu awe mwanamke,,,,,bunge limewakas moto hapa,,,,
hapa ni mazingaombwe tu. walianza kama mwenyekiti akitoka bara basi makamu atoke zenji,leo wanakuja la hili.
hapo inaonyesha makamu atatoka zenji na atakuwa mwanamke?JE kuna mwanamke katika hao wajumbe kutoka zenji mwenye uwezo na vigezo vya kuwa makamu au ndio tutachagua tu for the sake of gender balance?
hawakawii kuweka na udini hapa
Sasa AshaRose Migiro ana caliber gani zaidi ya UN underperform? Failure.
Sasa AshaRose Migiro ana caliber gani zaidi ya UN underperform? Failure.
Ifikie sehemu siasa zikae pembeni, Migiro kabla ya kuingia kwenye siasa alikua mwalimu wa sheria-Udsm(chuo bora kwa sheria Afrika Mashariki na kati). Sijaona popote taarifa rasmi zinazoongelea failure ya Migiro Un zaidi ya vyanzo vya uzushi uzushi.
Mambo ya beijing yanarudi mbona watakoma huko mjengoni.
Mpaka uambiwe kwani wewe huna macho ya kufanya minor analysis, huko UN mbali sana kwani hapa Tz kafanya nini baraza la mawaziri la kwanza, na hili alimoteuliwa tena naamini hakutakuwa na kitu.
Naona mwanasheria mkuu wa Zanzibar anazungumza kisheria zaidi simwelewi maana mimi si mjuzi ktk eneo hili
Bunge la katiba ni vichekesho vitupu. Very disappointing.
Mwenyekiti akitoka Bara/Tanganyika, makamu atoke VisiwaniZanzibar, or vice versa,
ss wanadai eti Mwenyekiti akiwa mwanaume, makamu awe mwanamke or vice versa,
baadae watadai Mwenyekiti akiwa mkristo, makamu awe muislamu, or viversa,
au mwenyekiti akiwa mrefu, makamu awe mfupi,
au mwenyekiti akiwa mweusi, makamu awe mweupe,
au mweyekiti akiwa mnene, makamu awe mwembamba.
Upuuzi mtupu. Kigezo muhimu ni UWEZO tu
Ulitaka maajabu gani, tokea tupate uhuru mihimili yote ya dola imekua ikiongozwa na wanaume(kabla makinda hajawa spika), je umeaskini wa watanzania umepungua?
Nimeona wajumbe wa katiba wa jinsia ya kike wakishupalia suala la uwiano wa jinsia katika bunge la katiba.Nimeachwa njia panda hivyo nimeona nije hapa jukwaani kuomba wana jf mnielimishe katika hili.
1.Kuna ulazima gani wa kuzingatiwa suala la jinsia katika nafasi za uongozi? (Najua ni muhimu kushirikishwa ila umuhimu zaidi unakuja kutokana na pengo la kiutendaji ambalo wale waliopo wameshindwa kulitekeleza).
2.Ni uwezo gani walio nao wanawake ambao unahitaji upendeleo zaidi ya uwezo wao hata waombe huruma ya kupewa nafasi na sio kugombea kama wanaume?
3.Ni historia gani nzuri ya kiuongozi yupi mwanamke inayoweza kutushawishi tuwape nafasi wanazopigania?
Mod naomba uiacha mada hii kwani nahitaji kufumbuliwa fikra.natatizwa sana na hili na naamini kupitia jf nitasaidiwa