SINDANO YA KIGOGO
Member
- Mar 25, 2018
- 13
- 44
Kweli Dar es Salaam imejaa vituko, vitimbi na watu wenye matatizo ya akili. Hivi inawezekanaje mwanamke uliyepevuka kiakili na utimamu wa mwili unaenda kupanda usafiri wa umma(daladala au mwendokasi) hujavaa nguo yoyote ya ndani (iwe ni underwear or tight) na wakati huo huo ukitambua kwamba kuna msongamano mkubwa kwenye usafiri wa umma.
Au ndo biashara siku hizi zimeahamia kwenye usafiri wa umma? Ama kweli ukistaajabu ya Mussa utayaona ya Firauni
😎 😎😎
Au ndo biashara siku hizi zimeahamia kwenye usafiri wa umma? Ama kweli ukistaajabu ya Mussa utayaona ya Firauni
😎 😎😎