Wanawake wa hivi ni wa kula tu, usioe

Miongozo ya wanawake wakutooa imewekwa bayana; hebu tuweke na miongozo ya wanawake wa kuoa; kuna jamaa yangu anasema haijalishi factor nyingine ye akipata bikira mapema tu anaenda kulipa mahari.

Nafikiri factor moja kubwa ya kuoa ni bikira. Japokuwa hapa inaweza kuwa mmoja kwa elfu so its a fact wote hatuwezi pata mabikira.
 
Kuna tattoo unazikubali? Akili tu ya kuwaza tattoos inampa zero
 
Mwache akalipie mahari chuchunge ili tukutane kwenye viti vya barπŸ˜‚
 
Mwanamke anayeenda uwanjani kuangalia mpira huyo hara nipewe bure.
 
Unafeli sana jamaa, yaani unaoa kwa kuwaridhisha wazazi wako badala ya kujiridhisha wewe! Kwani uyo mke ataishi na babako?
 
Mwanamke ambaye hata akijikata na kiwembe wakati wa kukata kucha anapost mitandaoni...
Utasikia "MAOMBI YENU WADAU"
Qumamaye,sio wa kuoa nayeye
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Demu ambaye yupo tayari kukopa hela awe na madeni ili tu apeleke kanisani.... huyo ni wa kumla na kuamsha.... no discussion...

Ninaye mmoja wa sampuli hiyo
 
Mwee kumbe ntoto wa Kinole [emoji14] au mgeta? Mluguru pekee uliostaarabika toka nawafahamu maana nimeishi nao wengi katika ukuaji!
Mluguru wa bomaroad [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kila mtu ana chaguo lake na maamuzi yake wewe ukiona wa nini mwingine anajiuliza atampata lini?
 
Mwanamke mwenye makucha marefu kikuku, tattoo, mvaa vimin, Mwanamke makelele much know huyo n bomu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…