Wanawake wa hivi Wana shida gani?

Wanawake wa hivi Wana shida gani?

Siku hizi kuna wajasiriamali Wengi Sana WA vyakula sehemu mbalimbali.

Ukiingia online karibu kila kitongoji kina wapishi mbalimbali wanapika kuanzia pilau,Biriani n.k.

Na wengine wanakuwa maarufu Sana.

Sasa basi kuna aina ya wanawake usiombe umpeleke sehemu muende Kula chakula Kwenye restaurant inayovuma Kwa upishi labda wa pilau au Biriani au chochote kile...inakuwa kama mtu "kachokozwa"...
Ni mwendo wa kuponda na kukosoa mapishi mwanzo mwisho.

Utasikia viungo vimezidi Sana au pilau hili bado Sana kuna kitu hakija kaa sawa..mara hivi mara vile.......yaani unaweza kukuta ulipompeleka mtu anasifika mji mzima lakini yeye kazi "kukosoa Tu"....na sometimes mapishi yake unayajua hata robo haingii.

Huwa inanishangaza Sana wanawake wa aina hii tatizo lao ni insecurity au wivu?

Hata kama ulipoenda Kula kweli umekuta chakula kinakasoro huwezi Kula ukaenda zako bila kukosoa ...?..au kukosoa ndo kunafanya wewe uonekane unajua sana?

Kinacho nishangaza wako Wengi wenye tabia hii.

Mnaenda sehemu badala ya Ku enjoy Tu chakula au mandhari mtu anakuwa busy Sana kutafuta makosa ama ya chakula au watoa huduma..... wanawake wenye hii tabia wanaboa sana.

Hebu nikumbushe maana ni kitambo sasa....

Nilikuwa nakosoa chakula au niliposhiba niliomba kufungiwa take away aka to go...😁😁😁?? (Kasinde is a food monger 🤭🤭).

Itabidi turudie ili nijikague kama nina hiyo tabia ama sina...😃.

Pole kwa hekaheka, nifikishie salamu zangu za heri tafadhali.
 
Halafu ulipoanza na wanawake wajasiriamali wa chakula nikajua unaongelea wale wanaouza chakula na chakulaaa kwa zile video zao za matangazo ya biashara zao kwenye insta fesibuku wasapu twira na kwingineko wakionesha sahani ya mapishi waliyopika na pishi walilozaliwa nalo...😁😁😁

Akili za Kasinde 🇿🇦.
 
Hebu nikumbushe maana ni kitambo sasa....

Nilikuwa nakosoa chakula au niliposhiba niliomba kufungiwa take away aka to go...😁😁😁?? (Kasinde is a food monger 🤭🤭).

Itabidi turudie ili nijikague kama nina hiyo tabia ama sina...😃.

Pole kwa hekaheka, nifikishie salamu zangu za heri tafadhali.
Ulinisimulia jinsi ulivyo mpishi mkubwa sana kwenye ukoo wenu...unashangaa wanapika pilau viungo havijasagwa vizuri 🤣🤣🤣🤣
 
Siku hizi kuna wajasiriamali Wengi Sana WA vyakula sehemu mbalimbali.

Ukiingia online karibu kila kitongoji kina wapishi mbalimbali wanapika kuanzia pilau,Biriani n.k.

Na wengine wanakuwa maarufu Sana.

Sasa basi kuna aina ya wanawake usiombe umpeleke sehemu muende Kula chakula Kwenye restaurant inayovuma Kwa upishi labda wa pilau au Biriani au chochote kile...inakuwa kama mtu "kachokozwa"...
Ni mwendo wa kuponda na kukosoa mapishi mwanzo mwisho.

Utasikia viungo vimezidi Sana au pilau hili bado Sana kuna kitu hakija kaa sawa..mara hivi mara vile.......yaani unaweza kukuta ulipompeleka mtu anasifika mji mzima lakini yeye kazi "kukosoa Tu"....na sometimes mapishi yake unayajua hata robo haingii.

Huwa inanishangaza Sana wanawake wa aina hii tatizo lao ni insecurity au wivu?

Hata kama ulipoenda Kula kweli umekuta chakula kinakasoro huwezi Kula ukaenda zako bila kukosoa ...?..au kukosoa ndo kunafanya wewe uonekane unajua sana?

Kinacho nishangaza wako Wengi wenye tabia hii.

Mnaenda sehemu badala ya Ku enjoy Tu chakula au mandhari mtu anakuwa busy Sana kutafuta makosa ama ya chakula au watoa huduma..... wanawake wenye hii tabia wanaboa sana.
Kwani kuna siku waliwahi kupendana hao?
 
Usiombe ukutane na mshangazi ambao upo toxic! Nilikutana na mmama wa dizaini hiyo yani nilijuta. Nimemtoa out, hata msosi haujafika anaanza kuponda wahudumu na kuwafokea.

Ilikua ni restaurant flani classic huko kanda ya ziwa, ukiagiza menu wanaenda kukuandalia kabisa unavyotaka wewe kwahyo inabidi usubiri kama dk15-20 ili uletewe msosi wako.

Basi nikaagiza maji. Yakaletwa maji ya Dasani! Akaanza kumfokea muhudumu, "hoteli gani hii hamna maji ya kilimanjaro!!!". Yule dada akamjibu kistaarabu tu "madam tunayo nakuletea" akaenda kumchukulia.

Moyoni nikawa najisemea tu, leo nimeyakanyaga!!! Sipendi mtu anaemfokea muhudumu. Order ikakamilika. Nikaletewa wali na samaki sato mkubwa sana na juice ya nanasi. Yeye aliagiza chips akaangiwe na mayai matatu pembeni, aletewe na sato mkubwa! Mimi na njaa zangu nikawa nafakamia tu msosi wangu huku nikienjoy taratibu.

Mwenzangu nikaanza kumuona anazipekua pekua zile chips kama takataka yani, huku anaponda sijui zimekauka sana. Wakati mm naona ziko poa tu. Akawa anamdonoa donoa yule samaki na kulalamika hana ladha. Dah! Akaita muhudumu akaanza kumfokea wamepika vibaya! Yani aibu niliona mimi. Tatizo nilikua na upwiru hatari.

To cut the story short. Baada ya tukio lile yule madam alikula block!
Safi sana. Ma-she wa hivyo wakyuma sana. Ulifanya vema kupiga doso.
 
Hebu nikumbushe maana ni kitambo sasa....

Nilikuwa nakosoa chakula au niliposhiba niliomba kufungiwa take away aka to go...😁😁😁?? (Kasinde is a food monger 🤭🤭).

Itabidi turudie ili nijikague kama nina hiyo tabia ama sina...😃.

Pole kwa hekaheka, nifikishie salamu zangu za heri tafadhali.
Kasie please 🙏 rudisha avatar picha Yako tuliyokuzoea umevaa kofia
 
Usiombe ukutane na mshangazi ambao upo toxic! Nilikutana na mmama wa dizaini hiyo yani nilijuta. Nimemtoa out, hata msosi haujafika anaanza kuponda wahudumu na kuwafokea.

Ilikua ni restaurant flani classic huko kanda ya ziwa, ukiagiza menu wanaenda kukuandalia kabisa unavyotaka wewe kwahyo inabidi usubiri kama dk15-20 ili uletewe msosi wako.

Basi nikaagiza maji. Yakaletwa maji ya Dasani! Akaanza kumfokea muhudumu, "hoteli gani hii hamna maji ya kilimanjaro!!!". Yule dada akamjibu kistaarabu tu "madam tunayo nakuletea" akaenda kumchukulia.

Moyoni nikawa najisemea tu, leo nimeyakanyaga!!! Sipendi mtu anaemfokea muhudumu. Order ikakamilika. Nikaletewa wali na samaki sato mkubwa sana na juice ya nanasi. Yeye aliagiza chips akaangiwe na mayai matatu pembeni, aletewe na sato mkubwa! Mimi na njaa zangu nikawa nafakamia tu msosi wangu huku nikienjoy taratibu.

Mwenzangu nikaanza kumuona anazipekua pekua zile chips kama takataka yani, huku anaponda sijui zimekauka sana. Wakati mm naona ziko poa tu. Akawa anamdonoa donoa yule samaki na kulalamika hana ladha. Dah! Akaita muhudumu akaanza kumfokea wamepika vibaya! Yani aibu niliona mimi. Tatizo nilikua na upwiru hatari.

To cut the story short. Baada ya tukio lile yule madam alikula block!
Usiombe akawa na msambwanda yaani akili zao zinahamiaga matakoni.
 
Siku hizi kuna wajasiriamali Wengi Sana WA vyakula sehemu mbalimbali.

Ukiingia online karibu kila kitongoji kina wapishi mbalimbali wanapika kuanzia pilau,Biriani n.k.

Na wengine wanakuwa maarufu Sana.

Sasa basi kuna aina ya wanawake usiombe umpeleke sehemu muende Kula chakula Kwenye restaurant inayovuma Kwa upishi labda wa pilau au Biriani au chochote kile...inakuwa kama mtu "kachokozwa"...
Ni mwendo wa kuponda na kukosoa mapishi mwanzo mwisho.

Utasikia viungo vimezidi Sana au pilau hili bado Sana kuna kitu hakija kaa sawa..mara hivi mara vile.......yaani unaweza kukuta ulipompeleka mtu anasifika mji mzima lakini yeye kazi "kukosoa Tu"....na sometimes mapishi yake unayajua hata robo haingii.

Huwa inanishangaza Sana wanawake wa aina hii tatizo lao ni insecurity au wivu?

Hata kama ulipoenda Kula kweli umekuta chakula kinakasoro huwezi Kula ukaenda zako bila kukosoa ...?..au kukosoa ndo kunafanya wewe uonekane unajua sana?

Kinacho nishangaza wako Wengi wenye tabia hii.

Mnaenda sehemu badala ya Ku enjoy Tu chakula au mandhari mtu anakuwa busy Sana kutafuta makosa ama ya chakula au watoa huduma..... wanawake wenye hii tabia wanaboa sana.
Anakhofia utakula biriyani na mpika biriani
 
Online ukiulizwa Dp world historia unajitoa akili kuwa historia yao ufahamu.
Maana ya utanda wazi wa masoko ufahamu tuanze hapa
 
Ulinisimulia jinsi ulivyo mpishi mkubwa sana kwenye ukoo wenu...unashangaa wanapika pilau viungo havijasagwa vizuri 🤣🤣🤣🤣

Jamaniiiii my bad, nilikosoa mapishi....😁😁
Ila kwa sasa nimeacha, na hivi napenda kula, chakula kikifika naanza kula kabla hatabya kusali. Maji ya kunawa yakichelewa yatanikuta sahani iko nusu au nanawa kusafisha mikono baada ya kushiba 😄😄.

Well, all is well, God is good all the time.

Still healthy and living, ceteris' Paribas.

Kasinde Matata.
 
Ulinisimulia jinsi ulivyo mpishi mkubwa sana kwenye ukoo wenu...unashangaa wanapika pilau viungo havijasagwa vizuri 🤣🤣🤣🤣

Halafu Boss man, ujue umeongea kinyamwezi hichi....🤔🤔🤔🤔

Wacha nichukue kamusi.
 
Usiombe akawa na msambwanda yaani akili zao zinahamiaga matakoni.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kama ulikuwepo. Alikua na msambwanda hatari. Ila hakua na maajabu na ukichanganya kile kisirani chake pale hotelini ndio akanikata stim mazima!!!
 
Kasie please 🙏 rudisha avatar picha Yako tuliyokuzoea umevaa kofia

Daaah, mtihani huu...😊😊

Well, nimeyapokea maoni yako mdau ntayafanyia kazi.

Japo wewe ndo mtu wa kwanza kuonesha umeona kuna tofauti kwenye avatar yangu 😍.
 
Back
Top Bottom