Si ndio nitasaidiana na mhusika[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ushachelewa sasaa...!!
niko occupied!!
Unadhani kuna asiependa fursa basi?Kuna Dada mmoja alini PM humu humu kuhusu interview ya ilala kaz za serikalin.
Kesho yake tukakutana kwenye eneo la interview, akanidesaaa weee mwishon kapata kazi now anatoka shavu tu.
Sa nyie shaur yenu fungeni fungeni tu mpishane na fursa
Zamani ilikua ni Private MessageNini kirefu cha PM
anantosha yy tu!Si ndio nitasaidiana na mhusika
Kweli kabisaaa!!Unadhani kuna asiependa fursa basi?
Zinapendwa sana tu. Ila ndohivo wengine ustarabu wao unasoma 0....
We fikiria jianaume zima linasambaza vitu visivyo na mashiko na kuzusha uongo,zinamtosha kweli huyo?
goodmorning......Kweli kabisaaa!!
tunafunga kwa kuwa watu wengine wapumbavu
Mi ht ukiskrinishot 'unanila shauri yako'
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
good morning too!goodmorning......
EhheheheheheheNimefanya nini yena mie Valle?
Kuna mtu kakuletea uzushi?
Halafu mi nna chale ngapi vile?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Unadhani kuna asiependa fursa basi?
Zinapendwa sana tu. Ila ndohivo wengine ustarabu wao unasoma 0....
We fikiria jianaume zima linasambaza vitu visivyo na mashiko na kuzusha uongo,zinamtosha kweli huyo?
He hee naomba nije pm nikutongoze Ngabu mana naambiwa natongoza wanaume huko pmEeh naona hilo limekukera kweli kweli.
Nawe wamekuzushia nini?
nimekumiss[emoji8] [emoji8]Ehhehehehehehe
[emoji23][emoji23][emoji23]jaribu mpesa uone kama napo pako locked
He hee naomba nije pm nikutongoze Ngabu mana naambiwa natongoza wanaume huko pm
Ha haa mwendo wa skrinshot saivi....Kweli kabisaaa!!
tunafunga kwa kuwa watu wengine wapumbavu
Mi ht ukiskrinishot 'unanila shauri yako'
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] watajua wenyewee!Ha haa mwendo wa skrinshot saivi....
He hee mi naona niongeze speed ya mitongozo tu sasa.Hahaa daah pole sana.
Wengine tushayazoea hayo mambo ya kuzushiwa.
Mi niliambiagwa eti nilikupata wewe kwa sababu ya kuandika Kiingereza humu JFππ.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] aiseeeh!He hee mi naona niongeze speed ya mitongozo tu sasa.
Jf bwana.... Unaweza dhani mtu anajielewa kumbe hewa tu