Mmh kutakua na namna tuNasingiziwaga tuu.... Sijui kwanini
Sasa ulimtongozea hapahapa jamani loooh?NINA REKODI YA KUPGWA BAN MIEZI 4 KISA NIMEMWAGA SERA KWA DADA FULANI,NAMCHUKIA YULE MODERATOR MPAKA LEO HII SIJUI ALIKUWA DEMU WAKE MAANA KILA MARA ANANIPA ONYO KUMSUMBUA YULE DADA
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] looohh!!!Ha ha ha usinikumbushe fulani alimshobokea dada fulani hivi, kapewa namba fasta siku kaenda kuonana kakuta anamzidi mama ake miaka miwili ha ha ha ha ha yalimshuka
[emoji28][emoji28][emoji28]na ww upunguze kutongoza tongozaNINA REKODI YA KUPGWA BAN MIEZI 4 KISA NIMEMWAGA SERA KWA DADA FULANI,NAMCHUKIA YULE MODERATOR MPAKA LEO HII SIJUI ALIKUWA DEMU WAKE MAANA KILA MARA ANANIPA ONYO KUMSUMBUA YULE DADA
Sasa nimuiteje sumbaiUmeanza lini kumuita @quiglei kaka???? Dah
Wewe @Geneveros sijui ulifikiria nini kutuwekea hiyo midomo[emoji39][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
looohh![emoji23] [emoji23] [emoji23] binamu msinifanyie hivyoo!!
loohh!!hadi wewee!
Sipati Pm ndo maana nabadilisha avatar kila sikuWewe @Geneveros sijui ulifikiria nini kutuwekea hiyo midomo[emoji39]
Vijana hakika wamekusikia.Sipati Pm ndo maana nabadilisha avatar kila siku
[emoji23] [emoji23] na pm imefungwaaaaVijana hakika wamekusikia.
Tena wakome kabsaakabisa kaka we ndio unaijua thamani yangu me sio wa mchezo mchezo
wakome aiseeTena wakome kabsaa
[emoji28][emoji28][emoji23] [emoji23] na pm imefungwaaaa
Ili uende pm..... [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Wewe @Geneveros sijui ulifikiria nini kutuwekea hiyo midomo[emoji39]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ishafungwaa!!Ili uende pm..... [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Ngoja tujaribu ku 'hack'.[emoji23] [emoji23] na pm imefungwaaaa
nakushtaki kwa modsNgoja tujaribu ku 'hack'.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ndo unakula ban sasaMIE RIJARI MY NTAACHAJE VITU VIZURI HATA WEWE UKINIPAGAWISHA UMEKWISHA
Midomo jmn dada[emoji23] [emoji23] [emoji23] ishafungwaa!!