Wanawake wa JamiiForums kwanini mnafunga PM zenu?

Ati??? Unatusingizia bana
 
Ha ha ha usinikumbushe fulani alimshobokea dada fulani hivi, kapewa namba fasta siku kaenda kuonana kakuta anamzidi mama ake miaka miwili ha ha ha ha ha yalimshuka
Inakuwaje wewe una infos nyingi za yanayotokea PM za watu?! Alaaniwe aliegundua screenshot!
 
NINA REKODI YA KUPGWA BAN MIEZI 4 KISA NIMEMWAGA SERA KWA DADA FULANI,NAMCHUKIA YULE MODERATOR MPAKA LEO HII SIJUI ALIKUWA DEMU WAKE MAANA KILA MARA ANANIPA ONYO KUMSUMBUA YULE DADA
Ndo ukome kusumbua wake za watu nawewe[emoji12]
 
Wawaza ngono kila saa wanafatilia wanawake, humu kuna watu wengi wa kushirikiana nao wewe unawaza ku-PM wanawake?

Kitu kingine ambacho unatakiwa kujua kuwa kuna maamuzi ya mtu ambayo huwezi kuyaulizia maswali, ndio maana vipengele hvyo vya kublock vikawekwa ili kuzuia watu kama nyie kusumbua wenzenu.

Nahsi hapo una watanzania wenzako wanne.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…