Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] aiseeeh!!PM ALIKUWA HAJIBU NDO MAANA NIKAWA NAMFUATA MAJUKWAANI
ukajifunga mabomu!!ukatake risk!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] aiseeeh!!PM ALIKUWA HAJIBU NDO MAANA NIKAWA NAMFUATA MAJUKWAANI
si ndo yangu hhii!??Midomo jmn dada
Sawa lakin inasababisha ajali ujuesi ndo yangu hhii!??
ndo nshapewaaa!sasa nifanyeje?Sawa lakin inasababisha ajali ujue
Weka usondo nshapewaaa!sasa nifanyeje?
haaaa!!mtazimia hapa!Weka uso
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji8]haaaa!!mtazimia hapa!
Ati??? Unatusingizia banaNlitolea mfano...
Mbona wadada wengi tuu huanzisha Uzi kumnanga mtu fulan
Hahha wadada mnamagroup yenu. Mnawasema saana Me. Hahaha nliwah kushuhudia hii kitu....
The dark side of jf. Mnaongea saana huko. Mtu akimuaproach mtu unaenda kuuliza wanawake wengine huko. Hahaha iwe sasa men ameshaawah kufanya hvyo hapo utaona kinachofata....
Another side ya jf geny huijuui
[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji8]
Hahahhaaha kwa mtindo huu skrin shoot hazitaishasi ndo yangu hhii!??
Inakuwaje wewe una infos nyingi za yanayotokea PM za watu?! Alaaniwe aliegundua screenshot!Ha ha ha usinikumbushe fulani alimshobokea dada fulani hivi, kapewa namba fasta siku kaenda kuonana kakuta anamzidi mama ake miaka miwili ha ha ha ha ha yalimshuka
[emoji23] [emoji23] kwa nini?Hahahhaaha kwa mtindo huu skrin shoot hazitaisha
Hahahahaha Wewe dada yangu hauhusiki. Hahah wweww hunafujo saanaAti??? Unatusingizia bana
Ndo ukome kusumbua wake za watu nawewe[emoji12]NINA REKODI YA KUPGWA BAN MIEZI 4 KISA NIMEMWAGA SERA KWA DADA FULANI,NAMCHUKIA YULE MODERATOR MPAKA LEO HII SIJUI ALIKUWA DEMU WAKE MAANA KILA MARA ANANIPA ONYO KUMSUMBUA YULE DADA
mimi je?Hahahahaha Wewe dada yangu hauhusiki. Hahah wweww hunafujo saana
Ha haa hata hizo kidogo umensingizia[emoji14]Hahahahaha Wewe dada yangu hauhusiki. Hahah wweww hunafujo saana
Sidhani kama ulikuwepo jf kipindi hicho....moto ulipokuwa unawaka humu.mimi je?
Sikuwepo best!Sidhani kama ulikuwepo jf kipindi hicho....moto ulipokuwa unawaka humu.
Enzi za ubazaz
Yap.....Ha haa hata hizo kidogo umensingizia[emoji14]