Wanawake wa JamiiForums kwanini mnafunga PM zenu?

Nikadhani wameufuta huu uzi bana...

Hivi nilikupora kwa nani Ngabu?

Nitajulia wapi mimi?

Watu humu hujitengenezea maruerue yao wenyewe halafu wanaanza kujiaminisha kuwa hayo maruerue ndo uhalisia.

Al junun funun!
 
Hayo ni nusu, nusu ilobaki nauza atakaetuma hela mamtumia full udaku.... Shigongo mwenyewe anauza udaku
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Huwezi nifanyia hivyo jamani yani mie na wewe kabisaaaa[emoji15]
 
Nitajulia wapi mimi?

Watu humu hujitengenezea maruerue yao wenyewe halafu wanaanza kujiaminisha kuwa hayo maruerue ndo uhalisia.

Al junun funun!
Sasa apo mwisho ndo umemaanisha nini na wewe.... Ah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…