Wanawake wa JamiiForums kwanini mnafunga PM zenu?

Wanawake wa JamiiForums kwanini mnafunga PM zenu?

Nikadhani wameufuta huu uzi bana...

Hivi nilikupora kwa nani Ngabu?

Nitajulia wapi mimi?

Watu humu hujitengenezea maruerue yao wenyewe halafu wanaanza kujiaminisha kuwa hayo maruerue ndo uhalisia.

Al junun funun!
 
Back
Top Bottom