Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,819
Ina maana kaka ndio atabeba mimba?Ngoja Ngabu akuletee my Wii,usipate shida kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ina maana kaka ndio atabeba mimba?Ngoja Ngabu akuletee my Wii,usipate shida kabisa
Yani uliambiwa na mtu mmoja mambo yote hayo?Aiseee kuna watu sio kabisaMbona kama unanimind mie? Wakati mie pia victim?huu udaku wote wa hapa nilipewa na mtu mmoja mtoto wa kiume nikisema mwanaume nitakosea
ndo ilivyo yani shida tupuNa kweli ni manyang'au.Kwa hiyo wameunda group wanakuwa wanashare conversations?
Koh!koh!koh nanihii naomba dawa ya kikohozi.
Na ole wenu msiniletee mpwa
Nikadhani wameufuta huu uzi bana...
Hivi nilikupora kwa nani Ngabu?
Khee my wii veepe tenaIna maana kaka ndio atabeba mimba?
Hayo ni nusu, nusu ilobaki nauza atakaetuma hela mamtumia full udaku.... Shigongo mwenyewe anauza udakuYani uliambiwa na mtu mmoja mambo yote hayo?Aiseee kuna watu sio kabisa
Sijui nimevurugika hata sijielewiKhee my wii veepe tena
Huwezi nifanyia hivyo jamani yani mie na wewe kabisaaaa[emoji15]Hayo ni nusu, nusu ilobaki nauza atakaetuma hela mamtumia full udaku.... Shigongo mwenyewe anauza udaku
😀😀😀😀😀😀😀
Ivi si nimekwambia unipm jamaanHayo ni nusu, nusu ilobaki nauza atakaetuma hela mamtumia full udaku.... Shigongo mwenyewe anauza udaku
😀😀😀😀😀😀😀
Sasa my Wii ukivurugika wewe mi ntakuaje[emoji17]Sijui nimevurugika hata sijielewi
😀😀😀😀Huwezi nifanyia hivyo jamani yani mie na wewe kabisaaaa[emoji15]
Sasa apo mwisho ndo umemaanisha nini na wewe.... AhNitajulia wapi mimi?
Watu humu hujitengenezea maruerue yao wenyewe halafu wanaanza kujiaminisha kuwa hayo maruerue ndo uhalisia.
Al junun funun!
Uwiii nimefunga hadi pamepotea ntakuchekiIvi si nimekwambia unipm jamaan
Nakusubiria Pm mda huu😀😀😀😀
Wewe utafwariki kabisa[emoji1]Sasa my Wii ukivurugika wewe mi ntakuaje[emoji17]
Sasa apo mwisho ndo umemaanisha nini na wewe.... Ah
Hahahhh nasubiliUwiii nimefunga hadi pamepotea ntakucheki
You were not supposed to be here bae.Wewe unazo za nani?Maelezo yaje yakiwa yamejitosheleza