Wanawake wa JamiiForums kwanini mnafunga PM zenu?

Wanawake wa JamiiForums kwanini mnafunga PM zenu?

Hii tabia mmeanza lini yakulock PM na kwanini mnafunga profile za akaunti zenu au mna wapenzi wenu humu mnaogopa watatuma watu kuwatest kama ni maharage ya mbeya ama la.Je hamuoni kuwa ni mnaonyesha udhaifu kwa kulock PM

Huu Mchezo hauhitaji [emoji15] [emoji16] [emoji16] [emoji31] [emoji15] hasira.Vijana kazi ipo sana tuu[emoji3] [emoji3] [emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
.......humu mimi sijui mwanamke yupi mwanaume yupi,najijua mwenyewe tu.
 
Back
Top Bottom