Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ufungue pm nakuja dk 0[emoji23] [emoji23] [emoji23] kipipa.,
mfupiii!!!kama kigoda!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] nyangumi!Ufungue pm nakuja dk 0
Atakua ndie rais wa shilawadukaka mengine tuwachie baba na mama [emoji13] [emoji13] [emoji13]
true kabisa kuna watu humu wapo vzr sana I don't regret to know them!!!At the end, ni lazima watu wa integrate huko PM, iwe kiurafiki, kutongozana, kusaidiana kimawazo katika maisha nk.
Muhimu ni kujua nani hasa (japo bado ni anonymous kwako) anaweza kuongea na wewe bila kutoa mambo yenu. Kuna decent women in here, very decent na utaenjoy kuchat nao coz wamekomaa kifikra. Sio kila mtu wa kubadilishana nae mawazo.
Nyangumi watamu zaidi ya nanasi[emoji23] [emoji23] [emoji23] nyangumi!
[emoji23][emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23]
Nimemtumia hivyo hivyo stakagi ujinga
huyo ulimkimbia mbona!!Nyangumi watamu zaidi ya nanasi
Alilimbia yeye bhana. Mapenzi ya kitoto ya kuchukuana video sinagahuyo ulimkimbia mbona!!
mie si utanipiga picha na video clip juu!
[emoji13] [emoji13] [emoji13] unazugaa eehh!Alilimbia yeye bhana. Mapenzi ya kitoto ya kuchukuana video sinaga
Unawezaje kumfahamu sura kabla ya kuanza kupiga jaramba pmHivi humu JF unafata nini PM ya mwanamke ambae hata hujui sura yake, ambae unahisi ni mwanamke waweza kuta ni janaume limechill aisee...kuna vitu vinashangaza sana...
sema akiya MunguMIE RIJARI MY NTAACHAJE VITU VIZURI HATA WEWE UKINIPAGAWISHA UMEKWISHA
[emoji28][emoji28][emoji28]Hahahhaaha kwa mtindo huu skrin shoot hazitaisha
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Unawezaje kumfahamu sura kabla ya kuanza kupiga jaramba pm
mpk magroup mweehIla hata wanaume wasio na adabu naskia wanagrp lao wenyewe. Kazi kuwasema aliyowapitia...
Ha ha ha hadi naonekana cha umbea nilietukuka....A million dollar question, inakuwaje @evalyn salt ana info za kutosha za private messages watu tofauti?
una akili mkuu wote wangekua na akili kama yako yote yasingetokeaHivi humu JF unafata nini PM ya mwanamke ambae hata hujui sura yake, ambae unahisi ni mwanamke waweza kuta ni janaume limechill aisee...kuna vitu vinashangaza sana...
member wa humu asilimia kubww wana ID ya PM na za kuzurulia kwenye majukwaa.NAUNGA MKONO HOJA WANAWAKE WENYE MULTIPLE ID NI VICHECHE HASWA
Babu vepee [emoji28][emoji28][emoji28]mmnhhh!!ntajieni jamani hao nyang'au wasiojiewelewa!
wasio na haya!
tuanze kukimbia hata pm zao!! [emoji57] [emoji57] [emoji57] ..
haaaa!