Wanawake wa JamiiForums kwanini mnafunga PM zenu?

Wanawake wa JamiiForums kwanini mnafunga PM zenu?

At the end, ni lazima watu wa integrate huko PM, iwe kiurafiki, kutongozana, kusaidiana kimawazo katika maisha nk.

Muhimu ni kujua nani hasa (japo bado ni anonymous kwako) anaweza kuongea na wewe bila kutoa mambo yenu. Kuna decent women in here, very decent na utaenjoy kuchat nao coz wamekomaa kifikra. Sio kila mtu wa kubadilishana nae mawazo.
true kabisa kuna watu humu wapo vzr sana I don't regret to know them!!!
 
A million dollar question, inakuwaje @evalyn salt ana info za kutosha za private messages watu tofauti?
Ha ha ha hadi naonekana cha umbea nilietukuka....
Asee kuna kidume humu tulifahamiana kirafiki tu, within a week mama mamaa nilipewa umbea sijui tani ngapi screenshot anazochat na watu humu, pm alizotumiwa asee ila mwisho wa siku akaniundia umbea na mie ha ha ha kwamba nna ngoma nimepewa na Mentor nikachoka kabisa
 
Hivi humu JF unafata nini PM ya mwanamke ambae hata hujui sura yake, ambae unahisi ni mwanamke waweza kuta ni janaume limechill aisee...kuna vitu vinashangaza sana...
una akili mkuu wote wangekua na akili kama yako yote yasingetokea
 
Back
Top Bottom