[emoji23][emoji23][emoji23]Kuna mdada nilimpm baada ya kusalimiana na maongez ya hapa na pale akadai mtungi wa gesi ,gesi yake imeisha anahitaji 180,000/= nikamwambia nitumie namba yako nikutumie naona mpaka leo kakimbia Sasa sijui alitaka nimtumie kwa njia gani[emoji87][emoji87][emoji87][emoji87][emoji87][emoji87][emoji87][emoji87][emoji87][emoji87]
kilicho akilini kitumie
Kumbe hii kitu ya "niambie" inatuvuruga wengi asee. Hua nachafukwa kwa sekunde sita au saba nikisoma sms ya "niambie"!amna ukuda me mwenyewe hua najibu hivyo..
na mtu akishaanza kusema niambie aah mood yote ya kumjibu inapotea
Halafu huwa sijui ni kwanini kuna watu huwa wanafanana uandishi na swaggs na baadhi huamini ni mtu mmoja, kumbe walaa'..![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuna mtu alitung'ang'ania eti hizi I'd mbili zinamilikiwa na mtu mmoja
Sent using Jamii Forums mobile app
Naunga mkono hili.
Kwa asilimia zote 100. Hii yawezekana ndio sababu.
Ndio hivyo, ila anajua hilo, cha msingi kama ulivyosema kukomaa nae tu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Good Lord.! Halafu mdogo wangu nilikumaindi siku ile hatari..! Nikasema this soul akiingia kwa anga zangu nahakikisha anaandika historia.!!
Yakaishia wapi..!?
Hazard CFC mdogo wangu, tafuta ugomvi na wadada 'bunu hii mbunu' ni matata sana!
Haha.!
Kabla ya kunifundisha, tupige kwanza pafu ili kupata ujasiri.!
[emoji28][emoji28][emoji28]Kumbe hii kitu ya "niambie" inatuvuruga wengi asee. Hua nachafukwa kwa sekunde sita au saba nikisoma sms ya "niambie"!
Sent using Jamii Forums mobile app
I just give up [emoji30]
Haki nimecheka eti majibu ya kuwekwa quarantine [emoji23][emoji23][emoji23]Halafu huwa sijui ni kwanini kuna watu huwa wanafanana uandishi na swaggs na baadhi huamini ni mtu mmoja, kumbe walaa'..!
Wewe na Joanah mna ufanano ka kaumafia flani, na kujiamini kusiko kawaida na yale majibu yenu flani hivii ya kuwekwa quarantine.!! [emoji23]
Asante Glenn.
Halafu huwa sijui ni kwanini kuna watu huwa wanafanana uandishi na swaggs na baadhi huamini ni mtu mmoja, kumbe walaa'..!
Wewe na Joanah mna ufanano ka kaumafia flani, na kujiamini kusiko kawaida na yale majibu yenu flani hivii ya kuwekwa quarantine.!! 😂
Broo ukiona kimya ujue sio wadada,wanatumia ID za kike kumbe ni waume.Nimeenda PM kwa wanawake 29, mmoja tuu ndio nilimwambia mambo akajibu "kwa yesu!" wengine wote wapo kimya, nioneeni huruma nahitaji upendo wenu, wadada wa jf nawapenda sana jibuni meseji.
Nipate hata mmoja wa kupiga nae story tam tam namimi najua kupenda haswaaa!!
Halafu nikionaga tuu jina la dada ya jf kuna kaharufu kananijia puani inaonekana muwasafi na wazuri na mna ladha nzuri sana, nahitaji kampani yenu.
Nyie ndio kimbilio letu hapa JF
Sent using Jamii Forums mobile app
Bazazi kaziniNdio hivyo, ila anajua hilo, cha msingi kama ulivyosema kukomaa nae tu.
Indeed, inapendeza kama mmewahi kukutana kwenye mijadala mbali mbali. Hata ukienda mp, mhusika anakuwa tayari anakujua.wewe hata usiponisalimia ni sawa tu kwasababu,tumeshagongana huku
kwenye ma thread kibao,ukini quote,niki ku quote,reactions,nk nk
ila kuna ile mijitu kwanza hata huna mazoea nalo,linakuparamia as if
mnajuana miaka na miaka aina hyo ndio nisiowataka kabisa yani.