Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,992
- 22,396
Usiniblock mkuu.Kila siku iendayo kwa Mungu maongezi ni hayo hayo, mtu Kama huyo ana stahili block
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii comment imenifanya nicheke.
Asante kwa kuleta cheko usoni kwangu.
Hata mimi napenda mtu anayeenda moja kwa moja kwenye point. Namaanisha msg yake ya kwanza iwe na salamu na dhumuni la kunitafuta.
Kuliko kuchat na hawa watu wa 'niambie', 'nipe story',
Bora nitembee peku kwenye miiba.!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna mmoja aliniPM picha ya mdada....ikabidi nimuulize hiyo picha ni ya nani?akaninijibu eti ni mimi huyo kwenye picha
Nikabaki hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!JF ina vichaa
na wewe ulioa humu mkuu au ulipata mtotoAnhaaaaaa!
Wewe sawa tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kama tumewahi kuwasiliana kabla ndio naweza nikakwambia ukweli kuhusu hali yangu.
Lakini secretary Pompeo anipm Mambo? Nianze kutiririka kwamba "mabaya, nimeamka najisikia vibaya sijui mgongo sijui kichwa" hapana, hata yeye akiwa anaandika "mambo" anategemea tuu jibu litakuwa ni poa.
Halafu Anne mbona mimi ukini pm unanyooka kwenye mada lakini hapa unanigeuka.
Kwahiyo ndio umentenda hivyo???Unaniitaje mtoto mzuri whilst hufahamu hata kama mimi ni mwamba.!
SidhaniNauliza tu, hivi kuna wadada wanafata mwanaume PM kwa lengo la kutaka watongozwe?
Sent using Jamii Forums mobile app
Huwa inatia Shaka.Nimecheka sana hiyo ID eti breki ya kenge!! Ha ha ha
Ila Saint Anne mbona mi naona id sio issue kiviiile msome anachotaka then jibu unapoona inafaa kujibu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe hii kitu ya "niambie" inatuvuruga wengi asee. Hua nachafukwa kwa sekunde sita au saba nikisoma sms ya "niambie"!
Sent using Jamii Forums mobile app
Lol, ridiculous.kwani unadhani mwanaume akikutafuta kuna nini kingine zaidi ya kutaka kulala na wewe, hamnaga cha urafiki kati ya mwanaume na mwanamke yani hata maofisini hamna cha professional relations, ukikaa kilaini unatupiwa nyavu na unalika, ukitaka kuamini hamnaga urafiki btn men n women, simu mbusu au initiate sexual moves uone utafanywa nn
Sent using Jamii Forums mobile app
Niache hebuna wewe ulioa humu mkuu au ulipata mtoto
[emoji16][emoji16][emoji16] ungeuliza 'kuna wadada wanawafuata wanaume PM kuwatongoza'? Yaani uwe na ujasiri wa kwenda PM halafu ukifika usubiri kutongozwa? Unafunguka tu mwenyeweNauliza tu, hivi kuna wadada wanafata mwanaume PM kwa lengo la kutaka watongozwe?
Sent using Jamii Forums mobile app
Itakua, wanataka watumie na ya kutoleaBroo ukiona kimya ujue sio wadada,wanatumia ID za kike kumbe ni waume.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jamaa: Mambo
Mie: poa
Jamaa: Uko poa?
Mie: yeah sijambo
Jamaa: Mambo yanaendaje lakini.
Mie: Yanaenda vizuri nashukuru
Jamaa: Niambie
Mie: Nipo tu sina mpya
Jamaa: Umevaa nini?
Mie: [emoji849] suruali na t-shirt
Jamaa: kwani kuna baridi? Natamani nije nikuvue
Mie: [emoji34][emoji34][emoji34][emoji34]
***Kiukweli wengi ni pumba tu hawana la maana kila siku maswali hayo hayo , salamu inajirudia mara mia.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Usiniblock mkuu.
Next time swali la kwanza kukuuliza litakuwa "bamba yako ya mpesa ni ile ile"??