[emoji28][emoji28] najua nimegonga mule mule[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hivi ni nini lakini?? Nije nikufanyaje??
Duh!!!!Wewe ulikuja kiuanaume hasa si kitoto. Advertise ukaomba namba ukanirushia muamala mengine yakaendelea. Hakuna nambie nambie...
Sent using Jamii Forums mobile app
KumbeKuitikia lazima pindi unapopewa salamu, ila kutoa salamu ndio sio lazima.
Zingatia hili.
Ahsante.
Mzima lakini ?
Nakusabahi mrembo.
Sauti inatoshaWamesema hawataki kuitwa mrembo mkuu, wanauliza unaiita mrembo kwani umeniona wapi? Ha ha so usiwaite mrembo we waite "mkuu/wakuu" kuna stage mkifika ndo muanze kuitana sugar, sjui asali, mara my heart pampa" ha ha noma sana boss
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanao sema hivyo, hawajui matumizi ya tamko hilo. Kiasili binti hupenda urembo na hio ndio sifa anuai kwayo inawatofautisha na sisi, sasa mtu unapo mpa sifa yake stahiki, anakuwa ana matatizo. Kuna mambo ya kawaida, yaani ada na desturi na jamii huwa inahukumu mambo.Wamesema hawataki kuitwa mrembo mkuu, wanauliza unaiita mrembo kwani umeniona wapi? Ha ha so usiwaite mrembo we waite "mkuu/wakuu" kuna stage mkifika ndo muanze kuitana sugar, sjui asali, mara my heart pampa" ha ha noma sana boss
Sent using Jamii Forums mobile app
Naandika kwa utiifu sana na kuzingatia uandishi lakini wanajivuta kujibuNdugu yangu secretary POMPEO nina wasi wasi na msg zako huko PM mpk unachuniwa.
Yawezekana unaandika "Mamb","Mmb" badala ya Mambo
Yawezekana unaforce vitu kama kuandika "Mambo mpenzi","Mambo Mrembo",nk wanawake
wanaojielewa ukimuita Mpenzi,Mrembo,mchumba From nowhere hakujui,humjui asee akikujibu
katambike au katoe sadaka ya shukuran,lazima kuna jinsi unakosea ktk hizo salamu zako.
Akili kumkichwa
Ni ngumu kuridhisha nafsi ya kila mtu, mda mwingine unafanya kile unachoona hakina madhara.
Ila mi mwanaume ni hayo tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu una ujasiri sana watu humu wanatumia fake id utamtongoza mwanaume,ndugu au boss wako.
Humu ni sawa na msitu wa Arizona ukijifanya kuwinda swala utaishia kuliwa na wanyama wakubwa makatili kupita.
Nyuki hufuata maua,ila maua hayafati nyuki.
Wanawake wa arusha na moshi ndio zaoNi utoto sana, kuna wale wa "x" badala ya "s" nachafukwa nikiona sms ya hivyo.
Sent using Jamii Forums mobile app