Me hata kama naumwa mtu akiniambia "mambo siwezi jibu mabaya.Hizi za Kwenda moja kwa moja Kwenye mada sio nzuri Sana.
Unakuta mtu anakupm kaandika"kwa Jina la mapenzi karibu moyoni"
Hiyo Ni text yake ya kwanza juu kabisa.
Ni vema mtu anapikupm akaanza na salamu na kukujulia Hali kwanza.
Hii inatoa nafasi ya kujua Khali ya mtu anayewasiliana Naye,mf kujua Kama Ni mzima,mgonjwa, Kuna shida anapitia au Yuko bize .
Kuanza tu kujieleza moja kwa moja kwa mtu,unaweza jieleza kumbe Ana Shida au anaumwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa nkikwambia Mambo Paula naomba nikugegede huoni ntakuwa nimejiaribia...Hii comment imenifanya nicheke.
Asante kwa kuleta cheko usoni kwangu.
Hata mimi napenda mtu anayeenda moja kwa moja kwenye point. Namaanisha msg yake ya kwanza iwe na salamu na dhumuni la kunitafuta.
Hizi za Kwenda moja kwa moja Kwenye mada sio nzuri Sana.
Unakuta mtu anakupm kaandika"kwa Jina la mapenzi karibu moyoni"
Hiyo Ni text yake ya kwanza juu kabisa.
Ni vema mtu anapikupm akaanza na salamu na kukujulia Hali kwanza.
Hii inatoa nafasi ya kujua Khali ya mtu anayewasiliana Naye,mf kujua Kama Ni mzima,mgonjwa, Kuna shida anapitia au Yuko bize .
Kuanza tu kujieleza moja kwa moja kwa mtu,unaweza jieleza kumbe Ana Shida au anaumwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
ππHahahahaahhah!
I know I know.......
Saint anne mambo, mzima wewe?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hi
Mnakosa ndoa hivihiviPia wale expert wana katabia ka kuja na Id mpya mbili mbili..
Binafsi najibu Business oriented Messages.
Kuna watu kila siku anakuja na convo mpya.Wanasababisha mtu uhisi labda ni ID fulani kongwe/famous tu imekuja kunichora [emoji3][emoji3] kuna mmoja nikamwambia nimezichoka salamu zako nenda straight to the point kwani alirudi tena
Jamani jamani, unaijua series inaitwa "locked up"?? Kwakweli nlisinzia pale pale na laptop yangu nkajutia kusinzia.ππ
......na ndio ukanikimbia
Hellow
Kuna watu wanatafuta Ndoa Jf?
Mimi Nina tabia ya kumsabahi kwanza mtu.Me hata kama naumwa mtu akiniambia "mambo siwezi jibu mabaya.
Kina Id moja hivi siikumbukagi mana ilikuwepo zamani kidogo yaani ile kila baada ya siku mbili au tatu atatuma kauli za matusi yaani nikawa naishangaa tu sa unadhani mtu ka huyo nani atapoteza muda kumjibu?Siyo duh, ndo muwe mnajibu PM zetu.
π₯°Hellow
Nini tena???
Kweli sio wewe dada?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapana, mimi hajanitumia pm.
Bora mwana alivyopaza sauti kwa niaba yetuSiyo duh, ndo muwe mnajibu PM zetu.
Hahaha iliwahi kunipata pis,Kina Id moja hivi siikumbukagi mana ilikuwepo zamani kidogo yaani ile kila baada ya siku mbili au tatu atatuma kauli za matusi yaani nikawa naishangaa tu sa unadhani mtu ka huyo nani atapoteza muda kumjibu?
Wakitaka Pm zao zijibiwe wawe na sababu za msingi za kwenda huko Pm.
Waachege kugeuza PM kuwa ni kijiwe cha kuambiana mambo mambo, sijui tuonane tuonane. π π π π