Wanawake wa JF mbona hamjibu Private messages?

Dogo uko vizuri
 
Pole kwa uliyopitia !
Sent using Jamii Forums mobile app
 

Somo limeeleweka mtani.
 
Jamani jamani, unaijua series inaitwa "locked up"?? Kwakweli nlisinzia pale pale na laptop yangu nkajutia kusinzia.

Mtu mwenyewe kukupata inabidi nihustle kinoma, si unajua???
Ukasinzia saa moja ile? Ila naona bado umesinzia 😀😀

Mhh unataka kunisingizia tu, Niko available maana pa kunipata unapajua 😎
 
Hahaha iliwahi kunipata pis,
yaani alikua anatuma matusi ya nguoni..kila akikurupuka
Huenda ikawa ndio huyo huyo aliyekuwa akituma na kwangu. Sa sijui anapata raha gani mana si uzima ule.
 
Mimi mzima.
Hofu kwako

Sent using Jamii Forums mobile app
Salaam

YAH: KUKUTUMIA UJUMBE HUU KUKUTAKA UWE RAFIKIYANGU

husika na kichwa cha habari hapo juu, nimekua nikiona michango yako katika jukwaa n nikavutiwa sawa kukufahamu, nadhani ombi langu likikubaliwa nitajihisi mwenye bahati sana.

Uwe na siku njema Mrembo.


Wako
Pompeo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Poa. Hivyo Id yako ya Feb 12 mpaka leo ushatumia wanawake wote hao PM kwa woote hao unatafuta nini?
Ndiyoo
Unaweza kuanza kujieleza kwa mtu kumbe muda huo amebanwa na kazi au Ana hasira.
Lazima response yake haitakuwa nzuri.
Ni Bora kumuuliza kwanza,mtu aliyetingwa au mtu hayupo comfortable kukusikiliza kwa wakati huo, atakuambia nitafute baadaye ili tuongee vizuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…