Wanawake wa JF mbona hamjibu Private messages?

Wanawake wa JF mbona hamjibu Private messages?

Hizi za Kwenda moja kwa moja Kwenye mada sio nzuri Sana.
Unakuta mtu anakupm kaandika"kwa Jina la mapenzi karibu moyoni"
Hiyo Ni text yake ya kwanza juu kabisa.

Ni vema mtu anapikupm akaanza na salamu na kukujulia Hali kwanza.
Hii inatoa nafasi ya kujua Khali ya mtu anayewasiliana Naye,mf kujua Kama Ni mzima,mgonjwa, Kuna shida anapitia au Yuko bize .

Kuanza tu kujieleza moja kwa moja kwa mtu,unaweza jieleza kumbe Ana Shida au anaumwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Dogo uko vizuri
 
Pole kwa uliyopitia !
Dude, It's a brotherly prayer you don't get into any relationship with these slay queens. Niko na donda kumoyo but wanna revenge! I made a promise, got to fulfill it. Time kama hii no singizi cause yake. Totally bankrupt, please please don't ever give it a try. Hizi mutu ni shetwain.

Go to ma profile find a thread nirianzisha narrated vile hawara kanitia gizani. She is here, I am sure waume wengi muko mmemkula. She pretends to be smart upstairs .....me crying here oogh. Thank me later. Ako amelalwa na wanaume wengi umu

Don't make a promise you can't fulfill...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kina Id moja hivi siikumbukagi mana ilikuwepo zamani kidogo yaani ile kila baada ya siku mbili au tatu atatuma kauli za matusi yaani nikawa naishangaa tu sa unadhani mtu ka huyo nani atapoteza muda kumjibu?

Wakitaka Pm zao zijibiwe wawe na sababu za msingi za kwenda huko Pm.

Waachage kugeuza PM kuwa ni kijiwe cha kuambiana mambo mambo, sijui tuonane tuonane yaani kila kukipambazuka hiyo ndio kauli. 😅😅😅😅

Somo limeeleweka mtani.
 
Jamani jamani, unaijua series inaitwa "locked up"?? Kwakweli nlisinzia pale pale na laptop yangu nkajutia kusinzia.

Mtu mwenyewe kukupata inabidi nihustle kinoma, si unajua???
Ukasinzia saa moja ile? Ila naona bado umesinzia 😀😀

Mhh unataka kunisingizia tu, Niko available maana pa kunipata unapajua 😎
 
Hahaha iliwahi kunipata pis,
yaani alikua anatuma matusi ya nguoni..kila akikurupuka
Huenda ikawa ndio huyo huyo aliyekuwa akituma na kwangu. Sa sijui anapata raha gani mana si uzima ule.
 
Mimi mzima.
Hofu kwako

Sent using Jamii Forums mobile app
Salaam

YAH: KUKUTUMIA UJUMBE HUU KUKUTAKA UWE RAFIKIYANGU

husika na kichwa cha habari hapo juu, nimekua nikiona michango yako katika jukwaa n nikavutiwa sawa kukufahamu, nadhani ombi langu likikubaliwa nitajihisi mwenye bahati sana.

Uwe na siku njema Mrembo.


Wako
Pompeo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Poa. Hivyo Id yako ya Feb 12 mpaka leo ushatumia wanawake wote hao PM kwa woote hao unatafuta nini?
Ndiyoo
Unaweza kuanza kujieleza kwa mtu kumbe muda huo amebanwa na kazi au Ana hasira.
Lazima response yake haitakuwa nzuri.
Ni Bora kumuuliza kwanza,mtu aliyetingwa au mtu hayupo comfortable kukusikiliza kwa wakati huo, atakuambia nitafute baadaye ili tuongee vizuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom