[emoji23][emoji23][emoji23]Haha sirudiagi tena kamwe kumfata mdada wa jf pm
Kuna sku nilimfataga mmoja hiv ahha sjui anajiitaga miss naniliu aisee wanawake wa jf wanahifadh sna bad memory zetu for future use niliishiwa kufululiwa makaburi hadi nikaomba poo
[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]Nakazia
may be but.......naomba kwa mungu ninavyofikiria iwe hivyo...nitakuwa happy though it will last longerHahaaa. Ila nitakusurprise siku moja. Hutaamini. [emoji85] [emoji85]
Asante sana dada [emoji4]Hahaaaa. Lol.
Ila kwa nyie wachache ambao tumewaachia wazi mnatosha kaka.
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji34][emoji58][emoji58]
Mbona dharau sasa hizo[emoji23][emoji23][emoji23]Mimi aliniambia mtu unachaji sh ngapi usiku kucha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tulikua tunasubiri jibu lako wakunyumbaNgoja waje ba mkwe wakujibu
Mafi mafi kabisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watakatifu mxxiuuew
Baraka hizo dadaMm ba mkwe yangu ipo wazi nishazoea kusalimiwa mara 10 pm jamani mtu akiingia akitoka salam
Kale ka binti mrembo. Atakaetegeka nake atajua mwenyewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Mtoto ndani ya juba utanitakaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nakajua
Usirudi tena baki huko huko nungwi..[emoji53][emoji53][emoji125][emoji125][emoji125]
Tunawacheka kihutuu [emoji23][emoji23][emoji23]Nakazia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Cepha hana wivu hata halafu anajua hamna atakaemuibiaHahahah
Ex bae wewe nikija Cepha si ata niua!
Hivi ile car wash inayoitwa Miller ni yako eenh[emoji23][emoji28][emoji23] hahaha
Duuh! Haya.may be but.......naomba kwa mungu ninavyofikiria iwe hivyo...nitakuwa happy though it will last longer
Na wewe karibu piaHiyo mialiko inatumia vigezo gani?
Ndo vituko vya huko mama. [emoji23][emoji23][emoji23]Mbona dharau sasa hizo[emoji23][emoji23][emoji23]
Asante ba mkwe wangu vijana humu wanasalimia sana pm huko utasikia umekula nini kama alikupa hela ya lunchAisee basi hongera mke wangu hajambo lakini?