Wanawake wa JF mbona huwa mnafunga PM zenu?

Ndio mana mm sifungi best ipo wazi mda wote
You are a very strong lady, wanawake wanamna yako hua wanafanya kile wanachotaka na wanachoamua wao na si vinginevyo. Ukiwaona unaweza kudhani they are weak na you can easily convince her to your side lakini with time unagundua kua ulimu underestimate
 
Kwanza unampa mtu maneno akishtuka kaliwa sio kumuendea kama kahaba
Wahenga hawaongopi Mzigua maneno matamu humtoa nyoka pangoni, vijana wa sasa wanaona wamerahisishiwa sana kutongoza kwa vile kuna mitandao lakini hawajui mtongozo mtamu ni wa kumvuta mtu kwa maneno mwanana na vitendo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…