Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,342
- 88,625
Naomba nije kukusalimia mi mtu mzima mwenzioMi mwenyewe mwnaume yangu nimefunga sababu ya usumbufu wa vitoto vya shule vimo humu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naomba nije kukusalimia mi mtu mzima mwenzioMi mwenyewe mwnaume yangu nimefunga sababu ya usumbufu wa vitoto vya shule vimo humu.
You are a very strong lady, wanawake wanamna yako hua wanafanya kile wanachotaka na wanachoamua wao na si vinginevyo. Ukiwaona unaweza kudhani they are weak na you can easily convince her to your side lakini with time unagundua kua ulimu underestimateNdio mana mm sifungi best ipo wazi mda wote
Ila mimi nimesema ukweli sijawahi kabisa labda nianze leo nije kukusalimia [emoji85][emoji85]Hahahahahahaha. Mnajiosha hapa
sijui mmUnajua ww....[emoji22][emoji22]
hahahaKuna watu huwa wanasalimia kuanzia asubuhi mpaka jionii tulichokaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] karibu sana kaka billnasSawa Nandy nitakuja kukutembelea
Sijafunga jamani AntonioAnza wewe kujibu muuza makufuli
Si bora ww kibonge mwepesii[emoji16][emoji16]Kibonge kama mimi halafu
Hapana wakunyumba sio kwa kumaanisha vileLabda alimaanisha mwenzio
Acha tu Millerhahaha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] chokaaaNaona aina mpya ya ukaka
Wahenga hawaongopi Mzigua maneno matamu humtoa nyoka pangoni, vijana wa sasa wanaona wamerahisishiwa sana kutongoza kwa vile kuna mitandao lakini hawajui mtongozo mtamu ni wa kumvuta mtu kwa maneno mwanana na vitendoKwanza unampa mtu maneno akishtuka kaliwa sio kumuendea kama kahaba
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji126][emoji126][emoji126]Mmh ni yako ile yaan nikipapita pale avatar yako tu huwa inanijia
Safi sana mkuuMi mwenyewe mwnaume yangu nimefunga sababu ya usumbufu wa vitoto vya shule vimo humu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Eeeh. Siku hizi wana msemo wao mpya. Cover the face fire the base.
hahaha nawe mfukunyuku dada[emoji23] [emoji16]Abeeh kaka angu mzuri mzuri kwani kuna habari gani za tabora si zimeisha
MfyuuuuuuuuIla mimi nimesema ukweli sijawahi kabisa labda nianze leo nije kukusalimia [emoji85][emoji85]
Huu ni ugeni sasa uandae ata na juice huko PM[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] karibu sana kaka billnas
Nidhaifu kweliMbona sababu zako ni dhaifu flan ivi?
Fanya ufungie bhana PM
chai[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Shda nn bro