Wanawake wa JF mbona huwa mnafunga PM zenu?

Anakuja na id yake zoefu anakutoooongozaaaa,unamkataa na kumfanya awe rafiki, akimaliza anakuja na id korofi anakukera mnagombana akimaliza anafungua uzi wa kuponda wanawake.Ukisoma kwa makini uzi wake unakuta ni wewe ndo unaesemwa 100%
Ok nimekupata Jolie,watu wengine hovyo kabisa, unauliza anafanya hivyo ili apate nini?
 
Anakuja na id yake zoefu anakutoooongozaaaa,unamkataa na kumfanya awe rafiki, akimaliza anakuja na id korofi anakukera mnagombana akimaliza anafungua uzi wa kuponda wanawake.Ukisoma kwa makini uzi wake unakuta ni wewe ndo unaesemwa 100%
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…