Kusumbua kupo lkn sio mtu anakuomba pic ya utupuWakati mwingine mkuu, Uchukulie poa tu, Kama dume asipomsumbua jike, Wewe unafikiri atamsumbua nani?
[emoji16][emoji16][emoji16]Hahah!!
Siunajua tena JF kumejaa wahenga.....
Hahah!! Naona umebadiri nguo bwana..[emoji16][emoji16][emoji16]
Lol mm nikiombwaga izo pic, naingia Google au fb nadownload nakutumia bila hiyana,mwenyew atajiona kapataaaKusumbua kupo lkn sio mtu anakuomba pic ya utupu
Hizo ni dharau nakaujinga
Mm sifanyi hizo bihashara mbovu
Ht ww najua uwez kukurupuka kutuma pic et umeombwa
Hahaha....niko likizo full kupunga upepoHahah!! Naona umebadiri nguo bwana..
Ushapat kazi?Mamaa badoo ndio usiseme watu wakaka wakule sjui ni mizimu na shetani
Anakutext jion ucku anataka pic ya utupu
Nilitoka bila ruhusa niliona nitapsuka kwa hasira
Badoo komesha
[emoji3] [emoji3] [emoji3] bonge la mjanjaLol mm nikiombwaga izo pic, naingia Google au fb nadownload nakutumia bila hiyana,mwenyew atajiona kapataaa
Sio mbaya lakini umependeza na vazi lako la kupungia upepo...Hahaha....niko likizo full kupunga upepo
BadoUshapat kazi?
[emoji28][emoji28]Sio mbaya lakini umependeza na vazi lako la kupungia upepo...
Badoo mbona kuna fursaBado
[emoji23][emoji23][emoji28][emoji28]
Ww hubadili...?[emoji12][emoji23][emoji23]
Mimi ndio maana naogopa kuwafuata kbsKwamba hawataki usumbufu?
Basi wewe kama mimi tu mkuu, mambo ya kufata fata watu PM jauMimi ndio maana naogopa kuwafuata kbs