Wanawake wa JF mbona huwa mnafunga PM zenu?

Wanawake wa JF mbona huwa mnafunga PM zenu?

Wakati mwingine mkuu, Uchukulie poa tu, Kama dume asipomsumbua jike, Wewe unafikiri atamsumbua nani?
Kusumbua kupo lkn sio mtu anakuomba pic ya utupu
Hizo ni dharau nakaujinga
Mm sifanyi hizo bihashara mbovu

Ht ww najua uwez kukurupuka kutuma pic et umeombwa
 
Wakati mwingine mkubali tu kusumbuliwa, Umeshaumbwa jike, Lazima madume yajipange, Ukipita mwezi mmoja haujapigiwa mluzi wala kutongozwa huwa unajisikiaje?
Huwa haunung'uki?
Hautamani kwenda loliondo?
Haujihisi kwamba haukukamilika?
MMENGUWA MADUME SISI TUKAWA MAJIKE, JE USUMBUFU HAUNGEKUWEPO?
 
Mdada anaefunga Pm hajiamini na inawezekana akawa mwajuma mlango wazi ukibisha hodi tu ndani, sasa ili kukwepa hilo anaona bora afunge tu maana mtu anaejiamini anajua hili yes hili no so hana haja ya kufunga PM. Jf wangetoa kwanza hii kitu wengine kuanza kuanzishiana thread humu kisa mtu unamkubali lakini kafunga PM unaamua kwenda public hatuwezi mnatupa tabu kweli[emoji38] [emoji38] [emoji38] .
 
sijawai mfuata mdada humu PM..na wala sifikirii kufanya hvo kwa sasa...
 
Back
Top Bottom