Wanawake wa JF mbona huwa mnafunga PM zenu?

Eti watu mle tulikuwa na wapenzi wetu, alafu kwa real life tuna familia kabisa. Nakumbuka mke wangu aliwahi kuniambia, "asee, wewe na jf ni sawa na mama na mwana, siwawezi".
Hahhaha mm kapuku ndio ilinifanya jf nianze kubebishwa na mapenzi ya jf [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hivi yupoje yule mtu anajifanya yeye ndio mwanzilishi wa kapuku alikuwa anakera sana Ila nilikuwa nampa yake nikiongea anaomba msamaha shunie basi yaishe mwanaume unakuwaje vile unafki tu
Wanaume wa 'dizaini' hiyo ni wabaya hadi kwenye familia zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…