Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Hahhaha mm kapuku ndio ilinifanya jf nianze kubebishwa na mapenzi ya jf [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Eti watu mle tulikuwa na wapenzi wetu, alafu kwa real life tuna familia kabisa. Nakumbuka mke wangu aliwahi kuniambia, "asee, wewe na jf ni sawa na mama na mwana, siwawezi".