Wanawake wa JF mbona huwa mnafunga PM zenu?

Mzee mwenzangu naona pengo.
Nakumbuke wakati wa BOSSLADY tulivyokimbizaa
Penye ulipo kosea ni kumkaba jogoo kwenye mkia, na alipo kuponyoka akakuachia manyoya, na mbaya zaidi kumbe ulusahau kama jogoo huota manyoya....tehteehhh......[emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…