Mkuu hili tangazo lako lina leseni??Habari za saa hizi wapendwa?
Natumaini hamjambo na ni wazima kabisa kama mimi nilivyo mzima.
Waungwana kuna jambo ningependa kufafanuliwa kwanini wanawake wa humu wanapenda kufunga PM zao?
Maana nimeliona Mara nyingi sana hili suala la wanaume kupiga magoti na kujishusha wakiomba kufunguliwa PM ili waweze kuongea Yale mambo ambayo huwa hayaongelewi public.
Ningependa kupata ufafanuzi wa kina na upembuzi yakinifu kuhusiana na hili suala.
Au ni jirani yake Ndugai salasala?Sijawahi kusema pale penye ninaishi aiseeeee.....
Zaidi napita sana hapo Dom, nakuwepo sana Dar, naonaekana sana Tabora, ingawa ninaishi Ushirombo... tehteehhh
Alichomfanyia Kaka Jo.. wa pale jirani na Reef-1..... Haki Mungu anamuona huyo bosi kubwa wa nguzo nzito ya 3 Tanganyika... tehteehhhAu ni jirani yake Ndugai salasala?
Nakumbuka ulizungumzia ujirani na kisa cha huyu mtu
Ungemtumia ya nyani.Mimi nilifunga ya kwangu kulingana na usumbufu wa (vivulana), yaani mtu anaingia halafu anaongea ujinga. Imagine mtu anakwambia naomba picha yako ukiwa mtupu!!!πππ
Ungejaribu kutaja uone atakwambiaje.Itakua labda. Ningemtajia dau angeanza kwani ina tv ndani. [emoji23][emoji23]
Hahaaaa. Lol.Hahah! mnatufanyia vibaya sana inatakiwa mtulegezee makufuli
Mngh! Naomba ata mimi nije tu nikusalimie mara moja [emoji3]...Hahaaaa. Lol.
Tulegeze rafiki huku hakuna hata vya maana huko chumbani. Huku huku majukwaani kunatosha rafiki. Teh.
Hahahaaa, umeniamsha na kicheko leo Jolie, kweli ushamba ni kama lile zigo la mwizi wa kiroba, kulibeba kazi kulitua haiwezekani!Na hivi ushamba ni mzigo inakuwa kama kile kiroba cha mwizi kilichoganda kichwani
Yaani hata kama ulikua unataka kurefusha stori muendelee kuchati stimu inakata hapo hapoSasa usiombe ka under 25 kaje pm
Kalishakujaga kamoja from nowhere kananiambia "Kut.......na raha"
Nikabaki tu najiuliza huyu kapatwa na nini,au kanichukuliaje mimi
Hahaaaa. Hivi wale niliowaachia mlango wazi na wewe si mmoja wapo rafiki.Mngh! Naomba ata mimi nije tu nikusalimie mara moja [emoji3]...
Naona ukalala mapemaaa
Mwingine anakazania kuomba umpe namba ya simu utadhani anataka kurekebisha muamala kumbe pumba tupuMimi nilifunga ya kwangu kulingana na usumbufu wa (vivulana), yaani mtu anaingia halafu anaongea ujinga. Imagine mtu anakwambia naomba picha yako ukiwa mtupu!!!πππ
hahahahaahahahahaMwingine anakazania kuomba umpe namba ya simu utadhani anataka kurekebisha muamala kumbe pumba tupu
Na hawachelewi kukuanzishia uzi kuexpose maongezi yenu ya PM. Na ukitumia picha ujue tu kuwa anaisambaza kwa wenzie inakera sana!Wanaume wanatongoza tena kwa kero.
Hahah!...Hahaaaa. Hivi wale niliowaachia mlango wazi na wewe si mmoja wapo rafiki.
Nikalala mapema kama kawaida yangu rafiki.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Lol mm nikiombwaga izo pic, naingia Google au fb nadownload nakutumia bila hiyana,mwenyew atajiona kapataaa
Hahaaa.Hahah!...
Yani ratiba yako ya kulala huwa inanifurahisha sana ujue...
Mmh!Pm yangu naiona kama mbovu nina miezi 4 sijaona msg humo
Hebu nitumie uoneMmh!
Sijui kutuma PMHebu nitumie uone