Sasa mbona unaguna km ww kweli hujui mambo ya pmSijui kutuma PM
Nimeguna kwasababu ya uongo wako, we sukari ya warembo huwezi kosa PMSasa mbona unaguna km ww kweli hujui mambo ya pm
Ww mwenyewe hunitaki ningekuwa sukari sasa hivi si tungekuwa hata na mtt mmojaNimeguna kwasababu ya uongo wako, we sukari ya warembo huwezi kosa PM
Unifanye single maza hlf uje kuniponda hukuWw mwenyewe hunitaki ningekuwa sukari sasa hivi si tungekuwa hata na mtt mmoja
Jamani...nakufanyaje single mother wakat tupo pamoja,bao langu huwa halipoteiUnifanye single maza hlf uje kuniponda huku
Mimi nikilala huo muda wako nashitula saa nne usiku [emoji23]Hahaaa.
Niige tu rafiki. Iko poa mno au ndio mwenyewe ushazowea kulala siku ikiwa ishageuka? [emoji12] [emoji12]
We badala useme unataka kunioa lkn nia yako ni kunizalisha tu. Aku!Jamani...nakufanyaje single mother wakat tupo pamoja,bao langu huwa halipotei
Unataka kuvaa shela?!We badala useme unataka kunioa lkn nia yako ni kunizalisha tu. Aku!
Yaani namba ulitoa lakini muamala haukusoma?Mwingine anakazania kuomba umpe namba ya simu utadhani anataka kurekebisha muamala kumbe pumba tupu
Hahaaa. Lol.Mimi nikilala huo muda wako nashitula saa nne usiku [emoji23]
Nalaani kwa nguvu zote tabia hiyoNa hawachelewi kukuanzishia uzi kuexpose maongezi yenu ya PM. Na ukitumia picha ujue tu kuwa anaisambaza kwa wenzie inakera sana!
Asante...Hahaaa. Lol.
Pole sana rafiki. Uko poa lakini?
Teh mtu anayekuja kwa pupa kutaka namba yangu simpi na nina mpuuza. Yaani hata mazoea hamna anaomba namba ili iweje sasa? Mwingine unamuambia kabisa mimi sipendelei urafiki nje ya jf kwasababu flani flani lkn halikuelewi..atakaa atarudi tena.." yaani mrembo ndo umeninyima namba kabisa?"Yaani namba ulitoa lakini muamala haukusoma?
Wengi ya wanaume wanaofanya hivyo wanakua wanataka kutongoza lakini hawajui kua kutongoza ni art, kutongoza ni sanaa kama zilivyo sanaa nyingine, lazima ujipange.Teh mtu anayekuja kwa pupa kutaka namba yangu simpi na nina mpuuza. Yaani hata mazoea hamna anaomba namba ili iweje sasa? Mwingine unamuambia kabisa mimi sipendelei urafiki nje ya jf kwasababu flani flani lkn halikuelewi..atakaa atarudi tena.." yaani mrembo ndo umeninyima namba kabisa?"
PM huna la maana, nikikupa namba ndo utakuwa na cha maana cha kuniambia?
Ni bora aanzie kunitongoza PM akifanikiwa namba nitatoa.Wengi ya wanaume wanaofanya hivyo wanakua wanataka kutongoza lakini hawajui kua kutongoza ni art, kutongoza ni sanaa kama zilivyo sanaa nyingine, lazima ujipange.
Wanaamini kua wakishapewa namba tu baasi wanakua kama wameshakubaliwa! Lakini wakikutana na mtu anayejitambua wanatolewa knockout round ya kwanza tu by disqualification!
Mie sijambo rafiki. Kumekucha.Asante...
Nipo poa sana yani hofu kwako tu rafiki...
Lakini unajua demi kutongoza kuna style nyingi, wengine wataanza na maneno matamu, wengine watajifunza tabia zako na vitu unavyovipenda na watatambilizia mlemleee! Yaani hata kama ni mlokole watu watakuja na maneno na matendo yenye upako, ukiwa msela watakujia ki gangster, ukiwa mpole hivyohivyo.Ni bora aanzie kunitongoza PM akifanikiwa namba nitatoa.
Ni kweli, na mtongozo unanoga mkiwa tayari mmezoeana kiasi, mi huwa napenda kujenga urafiki na mtu ili nimzoee kwanza, sasa from nowhere unaomba namba ni ulimbukeni.Lakini unajua demi kutongoza kuna style nyingi, wengine wataanza na maneno matamu, wengine watajifunza tabia zako na vitu unavyovipenda na watatambilizia mlemleee! Yaani hata kama ni mlokole watu watakuja na maneno na matendo yenye upako, ukiwa msela watakujia ki gangster, ukiwa mpole hivyohivyo.
Wengine kwenye kutongozana wanaanza na ugomvi na kuzinguana sana mwisho wa siku mnashangaa wana date, kama Mahondaw na Smart911. Lakini wote hao hata wanaoanza kwa kuzinguana hufanya kiutu uzima na sio kitoto toto. Sio mtu siku ya kwanza anaomaba picha, namba ya simu n.k! haipo hivyo
Ndio maana hata mama Getrude Mongela aliwahi kushauri serikali ianzishe vyuo vya kufundisha kutongoza. Japo alikua anatania lakini alikua anafikisha ujumbe kua chanzo kingine cha ubakaji ni vijana wa kiume siku hizi kutokujua kutongoza na kumlainisha mwanamke na badala yake wanatumia miguvu, hiyo ni aina mojawapo na madhara mengine ya udomo zegeNi kweli, na mtongozo unanoga mkiwa tayari mmezoeana kiasi, mi huwa napenda kujenga urafiki na mtu ili nimzoee kwanza, sasa from nowhere unaomba namba ni ulimbukeni.