Wanawake wa JF mbona huwa mnafunga PM zenu?

Yaani namba ulitoa lakini muamala haukusoma?
Teh mtu anayekuja kwa pupa kutaka namba yangu simpi na nina mpuuza. Yaani hata mazoea hamna anaomba namba ili iweje sasa? Mwingine unamuambia kabisa mimi sipendelei urafiki nje ya jf kwasababu flani flani lkn halikuelewi..atakaa atarudi tena.." yaani mrembo ndo umeninyima namba kabisa?"
PM huna la maana, nikikupa namba ndo utakuwa na cha maana cha kuniambia?
 
Wengi ya wanaume wanaofanya hivyo wanakua wanataka kutongoza lakini hawajui kua kutongoza ni art, kutongoza ni sanaa kama zilivyo sanaa nyingine, lazima ujipange.
Wanaamini kua wakishapewa namba tu baasi wanakua kama wameshakubaliwa! Lakini wakikutana na mtu anayejitambua wanatolewa knockout round ya kwanza tu by disqualification!
 
Ni bora aanzie kunitongoza PM akifanikiwa namba nitatoa.
 
Lakini unajua demi kutongoza kuna style nyingi, wengine wataanza na maneno matamu, wengine watajifunza tabia zako na vitu unavyovipenda na watatambilizia mlemleee! Yaani hata kama ni mlokole watu watakuja na maneno na matendo yenye upako, ukiwa msela watakujia ki gangster, ukiwa mpole hivyohivyo.

Wengine kwenye kutongozana wanaanza na ugomvi na kuzinguana sana mwisho wa siku mnashangaa wana date, kama Mahondaw na Smart911. Lakini wote hao hata wanaoanza kwa kuzinguana hufanya kiutu uzima na sio kitoto toto. Sio mtu siku ya kwanza anaomaba picha, namba ya simu n.k! haipo hivyo
 
Ni kweli, na mtongozo unanoga mkiwa tayari mmezoeana kiasi, mi huwa napenda kujenga urafiki na mtu ili nimzoee kwanza, sasa from nowhere unaomba namba ni ulimbukeni.
 
Ndio maana hata mama Getrude Mongela aliwahi kushauri serikali ianzishe vyuo vya kufundisha kutongoza. Japo alikua anatania lakini alikua anafikisha ujumbe kua chanzo kingine cha ubakaji ni vijana wa kiume siku hizi kutokujua kutongoza na kumlainisha mwanamke na badala yake wanatumia miguvu, hiyo ni aina mojawapo na madhara mengine ya udomo zege
 
Back
Top Bottom