Wanawake wa JF mbona huwa mnafunga PM zenu?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahaaaa. Mie niliona marafiki niliowapata wanatosha

Na pia kwa mbaali sikutaka kumkosesha mtu amani hasa pale atakapojitumisha PM halafu mie nikamkalia kimya pasi kumjibu.

Hivyo tu na pia niseme iko wazi kwa wale wachache.
 
Sema wakati mwingine mtu unakuwa na uhitaji wa haraka ambao ni reasonable sasa unakuta PM imefungwa. Nadhani ni vizuri zingekuwa wazi na kama ni usumbufu unapuuza tu
 
Sema wakati mwingine mtu unakuwa na uhitaji wa haraka ambao ni reasonable sasa unakuta PM imefungwa. Nadhani ni vizuri zingekuwa wazi na kama ni usumbufu unapuuza tu
Nakazia hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…