Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ebu uko niache[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ndio huyo huyo@Jolie Jolie
[emoji23][emoji23][emoji23] aiseeHahaha
Wacha nikakufungie tuu
Woyoooooooo acha nikakae viti virefu mie"hahahaha nasikia rahaaaa "
nyongo mkalia ini [emoji23] [emoji26] [emoji23] [emoji26] [emoji23] [emoji16] [emoji16]
[emoji23] [emoji15]
NakaziaWoooyooooooooooo(in Shunie's voice)
HahahaEwaaaaa huko huko anaenda kumbe uko unamjua vyedi
Namzoom tu hakuna namnadada sakayo[emoji15]
gsw wameingia fainali sasa kuvaana na huston rocketmkuu naomba matokeo ya jana [emoji16] [emoji15]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kaka dada
Ok nimekupata Jolie,watu wengine hovyo kabisa, unauliza anafanya hivyo ili apate nini?Anakuja na id yake zoefu anakutoooongozaaaa,unamkataa na kumfanya awe rafiki, akimaliza anakuja na id korofi anakukera mnagombana akimaliza anafungua uzi wa kuponda wanawake.Ukisoma kwa makini uzi wake unakuta ni wewe ndo unaesemwa 100%
mr miller samahani [emoji16] [emoji23]Mmh!
Khaaaa"hahahaha nasikia rahaaaa "
nyongo mkalia ini [emoji23] [emoji26] [emoji23] [emoji26] [emoji23] [emoji16] [emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Anakuja na id yake zoefu anakutoooongozaaaa,unamkataa na kumfanya awe rafiki, akimaliza anakuja na id korofi anakukera mnagombana akimaliza anafungua uzi wa kuponda wanawake.Ukisoma kwa makini uzi wake unakuta ni wewe ndo unaesemwa 100%
Umeichoka amani eeehdada sakayo[emoji15]
Mambo yenyewe wanasemaKwa nini ukimbizwe eti
Za nini tena jamaniAcha tu niko na stress zangu hapa
Ata ukinuna kwa mnyama hakuna namna jamani[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]