Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,433
- 56,810
Brother wewe pia hujui uonoUono!???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Brother wewe pia hujui uonoUono!???
@manuu kapoteana jamani.Manuu mzima bhana...hapo utanisoma sasa
Kwakweli Ila mm aliyeniletaga kapuku ni sakayo jamani
Hahaha,kama walikuwa wamezaliwa basi walikuwa bado wanafuta kamasi na mikono.
Nikuje kula usiku sili ugali nitaota ndoto za kutisha sanaKaribu basi
Manuu kawa mvivu sana huwa anasoma tu nakupitaa but ni mzima kabsaa@manuu kapoteana jamani.
Ewaaaa, huku kwetu tunaita uonoKama dagaa wa znz
Kaka. Nimewamiss mno indeed.Wakuu mwanikumbusha mbali[emoji116] [emoji115]
Haahahahahahahah yaan sasa kuna watu wanazitaka life ban nakuambia we tuliaNilienda kucoment post kama 5 sakayo akaja kunipigia kelele nitoke kabisa jf nikatoka nilimtafuta robot na max huku max hayupo online sakayo busy nae na kureport [emoji3][emoji3][emoji3] mzigua ananiambia Dina yuko busy na kureport uzi wako jamani mbarikiwe
Basi nawajua umeona ni majina tuEwaaaa, huku kwetu tunaita uono
Aiseee.. kumbe ndio maanaNikuje kula usiku sili ugali nitaota ndoto za kutisha sana
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Leo ugali utaliwa saa saba kama daku
Dada, nimekwambia achana nae yule bhana.Ile ni zaidi ya bangi halafu anakuquote kwahiyo unabisha ni uwongo
Basi kwenye kupost likaja kwahiyo unabisha ni uwongo sakayo akaja tena shunie naomba utoke kabisa jf yaan angenipa ban matata sana leoHaahahahahahahah yaan sasa kuna watu wanazitaka life ban nakuambia we tulia
Basi kwenye kupost likaja kwahiyo unabisha ni uwongo sakayo akaja tena shunie naomba utoke kabisa jf yaan angenipa ban matata sana leoHaahahahahahahah yaan sasa kuna watu wanazitaka life ban nakuambia we tulia
Yap,watamu[emoji39] [emoji39] [emoji39]Basi nawajua umeona ni majina tu
Hahaha ndio mana nn usiku sili ugali mie ugali ni mchana tuAiseee.. kumbe ndio maana
[emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125] sawa kakaDada, nimekwambia achana nae yule bhana.
SanaaaaaaYap,watamu[emoji39] [emoji39] [emoji39]
Ungemwambia 5mlAsante mkuu