Wanawake wa JF mbona huwa mnafunga PM zenu?

Wanawake wa JF mbona huwa mnafunga PM zenu?

Nilienda kucoment post kama 5 sakayo akaja kunipigia kelele nitoke kabisa jf nikatoka nilimtafuta robot na max huku max hayupo online sakayo busy nae na kureport [emoji3][emoji3][emoji3] mzigua ananiambia Dina yuko busy na kureport uzi wako jamani mbarikiwe
Haahahahahahahah yaan sasa kuna watu wanazitaka life ban nakuambia we tulia
 
Haahahahahahahah yaan sasa kuna watu wanazitaka life ban nakuambia we tulia
Basi kwenye kupost likaja kwahiyo unabisha ni uwongo sakayo akaja tena shunie naomba utoke kabisa jf yaan angenipa ban matata sana leo
 
Back
Top Bottom