Wanawake wa JF mliobadili ID mnatupa ugumu kutongoza

Unajisumbua na wake za watu shauri ako.
 
Itaje DeepPond [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] na ikiwa kweli nakutumia 500,000 cash kwa wakala.
Hebu Kumbuka vzur,
Mbona ulijitaja mwnyw Kwny comments za Uzi flani wa zaman (early 2010s) nilikua naupitia, kuna mdau alikuuliza ukajisema mwnyw na I'd yako ya Sasa unayotumia.

Ngoja niutafute afu Ntakutumia screenshot pm,niandalie muamala chap[emoji39]
 
DeepPond wewe. Hiyo ID si kwamba nimeibadili. Nilingia JF 2010. ID yenyewe kuna mtu wa ofisini aliijua. Nikaacha kuingia sikuwa nacomment ilikuwa kwaajili ya kusoma tu.

Baada ya miaka kadhaa nikawa nishaisahau huwezi amini.
Sasa ndiyo nikajisajili 2014 na kitu rahisi kukumbuka. Umeikosa hiyo hela 😂😂😂😂😂😂😂😂👋👋👋👋👋
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…