Wanawake wa JF mliobadili ID mnatupa ugumu kutongoza

Ngoja nikufundishe mbinu ya kibazazi siku moja uje unishukuru kaka yako...

Ukiona pisi yenye ID kali unaitumia PM, si lazima ajibu...

Hata akibadili ID mara mia, bazazi unakuwa na nyaraka ya siri tayari...
Mzee mwenzangu kwenye moja na mbili πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Lakini mheshimiwa unapenda kunivurugia mambo!! ona sasa ona! And why huwa haunimention? πŸ˜…

Pisi humu ni za kumwaga sana usisage kunguni bwana!
 
hahahahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…