Wanawake wa JF mliobadili ID mnatupa ugumu kutongoza

Ahahaaaa nimecheka sana
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah
 
Hao kina Mama Sabrina, Demiss, Miss Natafuta, Yna2, Nifah n.k na wengine wengi wamekuja kwa majina mapya baada ya kufumiliwa humu wanataka new members wawarukia kama visu vipya
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wanafamilia Wangu wote wananifahamu na niliwaweka wazi kabisa labda kama wewe si.
Bora nivobadili nimepumua na michambo ya humu na zile cc hata baada yaile skendo kwakweli! Nyieeeee[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuna jambo linakujaaa. Naomba uwe upande wanguu. Uni motivatee.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuna jambo linakujaaa. Naomba uwe upande wanguu. Uni motivatee.
Jambo gani trena kipenzi!!??? Usijareee kabisa wewe teinaaah!!!
 
Limekukuta jambooo shogaa mbogaaaa??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mnafanyaje kuchange Id?
Nikichange nitakuja kujitambulisha [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] natamanigi ila sasa sijui kubadilika. Lol
 
Mlolongo kachalii kadogo alimtongozaga wangari mathai ikatiki wakakubaliana wakutane Dar sehem flan. Dogo kasafir kutoka Arusha hadi. Kamngojea weee wangari hakutokezea akamuacha dogo kwenye mataa.

Dogo alimaindi akaja jamvin kumaliza hasira zake.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah
 
Limekukuta jambooo shogaa mbogaaaa??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
🀣🀣🀣🀣 Yashapitaa . Maisha lazima yaendelee πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚!!
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Maisha lazima yaendelee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila shougaaaa nakupenda hujawahi kufail, unavojua kujifyatua akili, km hamna kilitokea.

Nakupendaaaaa. Aririiiiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…