Wanawake wa JF mmeheshimishwa: Msimuangushe Rais Samia Suluhu, msijiangushe

Nina imani neno rais limetoholewa toka lugha nyingine mostly kiarabu.. Na baada ya kusanifiwa likageuzwa fasaha 'raisi'
Mengine ni Zanzibar/ Zenjiber, Kiswahili/ Kiswahel nk
 
Sahihi kabisa ya kuwa tamko "Rais" la asili ya Kiarabu.

Swali langu ni kuwa tamko "Rais" iweje liwe ni Kiswahili fasaha hali ya kuwa linakinzana na kaida za kiusuli za sarufi ya Kiswahili ?

Tamko Zanzibar kwa usahihi huandikwa Zanzibari.
 
Watanzania wengi wakiwemo viongozi wetu hawakifahamu Kiswahili fasaha na sanifu.. Ni bora liende
 
Amina na iwe
Hata barabarani wanawake madereva wako makini sana ..

Wanawake tunawapenda sana na ndio maana usiku tunalala nao kwa upendo wa dhati

Hivyo basi ushirikiano huu udumishwe daima mbele nyuma mwiko
 
Maono ya Konyagi
 
Watanzania wengi wakiwemo viongozi wetu hawakifahamu Kiswahili fasaha na sanifu.. Ni bora liende
Uko sahihi kabisa na hawataki kujifunza kiswahili chao.

Hitimisho : Umekubali kwamba "Rais" si Kiswahili fasaha ?
 
Nimekubaliana nawe kwakuwa inakosekana irabu mwishoni..hivyo uko sahihi
 
Kimbiji kisiju moja iyo...!!! Dar kimeumana...[emoji3]
Karibia tunafika mjini kwa mara ya pili kula ubwabwa pilau nk pale magogoni
Sherehe zinaanza upya kujisherehesha Eid vijikutano vya hapa na pale kula kashata na kahawa (wanaume mpooo) ni raha fullu
Tupo tupo kupika pika makorokocho
Magogoni kulipoa
Mjiandae kucheza bao (wanaume) pale kwa nyumba nyeupe
 
Alkasusu itakuwepo!?[emoji23][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…